Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Nimekutumia msg pm😁
Nimeambatanishaa na cv yangu na vipimo vya daktari vya magonjwa yote
 
huyo wa kunitoa kwenye usingle kwanza yuko wapi..
Hakuna
Niko hapa sema nakuuliza maswali unajibu ndivyo sivyo!, jibu maswali vizuri nikutoe huko na kuta za nyumba zitoke kwenye hatari ya kukwaruzwa na mgongo wako!..
Narudia tena una miaka mingapi..?
Je, wewe ni single tu au single mama..?
 
Mfate dm mkuu, ukitaka info zake halisi hapa utakesha
 
Niko hapa sema nakuuliza maswali unajibu ndivyo sivyo!, jibu maswali vizuri nikutoe huko na kuta za nyumba zitoke kwenye hatari ya kukwaruzwa na mgongo wako!..
Narudia tena una miaka mingapi..?
Je, wewe ni single tu au single mama..?
Usiulize maswali km hayo kwenye public mambo ya privacy ingia PM km upo serious mkuu, stop bragging
 
CV yangu hii
Naishi mkuzo
Sina dini
Sina kazi yaani jobless
Ni mfupi sana na mnene
Nina watoto wanne
Naishi nyumba ya urithi
Kwakuwa we ni muajiriwa naomba unilee mi ntakuwa marioo wako.
Umri wangu ni miaka 53.
Pia nina juhudi za kulima
Na niko na chale mwili mzima
cold water naomba unikubalie
😁
 
Niko hapa sema nakuuliza maswali unajibu ndivyo sivyo!, jibu maswali vizuri nikutoe huko na kuta za nyumba zitoke kwenye hatari ya kukwaruzwa na mgongo wako!..
Narudia tena una miaka mingapi..?
Je, wewe ni single tu au single mama..?
Ingekuwa serious ungenifanyia interview hapa😏

Halafu unanihoji Kwa ukali mbona🙄
 
Back
Top Bottom