KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,660
- 89,486
Anaetafuta mchumba ni ke, mkuu ulisomea shule gani tukaifunge...!😅Wachumba wanachezea umri wa miaka 18 na 25, zaidi ya hapo utapata single mother tu. Huo umri uliotaja ni utata mtupu kumkuta mwanamke bado hajaolewa na hana mtoto