Ndio nakufanyia interview hapa ili watu wote wawe mashahidi ili ukija kunigeuka wasiseme nilikuonea kwa maamuzi niliyoyachukua!.Ingekuwa serious ungenifanyia interview hapa😏
Halafu unanihoji Kwa ukali mbona🙄
Mkuu kaa kushoto utanipeperushia njiwa..😂Mpaka hapo Huna uwezo wa kumiliki mwanmke timamu hapa mjini, unachangamoto fulani
😄Ndio nakufanyia interview hapa ili watu wote wawe mashahidi ili ukija kunigeuka wasiseme nilikuonea kwa maamuzi niliyoyachukua!.
Kwanza nitumie picha yako pm nione u single wako umekaaje kaaje..!😅
Stop bragging mutherfuker nishakwambia stop braggingMsinifundishe kazi nyie ndo wachawi wenyewe sasa mnataka dada wa watu awe single mpaka lini
SITAKI😄
Asubuhi njema kaka
Utajua mwenyeweSITAKI
Hutongozwi wewe ila cha ajabu ume mind mkuu acha kujitafutia BAN, huna shipa hata lakutunza hisia asubuhi tu ushashusha mitusi!, ndama ni ndama tu..😂Stop bragging mutherfuker nishakwambia stop bragging
Ijumaa iwe njema kwako nashukuru kwa ushirikiano wako!..🥰Utajua mwenyewe
Na kwako pia mkuuIjumaa iwe njema kwako nashukuru kwa ushirikiano wako!..🥰
Huyu ni mwanamkeMiaka 34 mwanamke utampata wapi ambaye hajaolewa na kuwa na mtoto? Labda upate single mother
Na wewe wale waleeeDuuh Bora walivyotoa fimbo huko mashuleni huoni ameandika 'ke' yeye Ni mwanamke
Usiwaze kaka ila hizi Mali huwa zinaliwa kimyakimya mana kuna wame zao humu, mahawara, Madanga, hivo hua tunafukuzia kimya kimya mkuu, tusiharibiane Marshall, umenipata? 🤛Mkuu kaa kushoto utanipeperushia njiwa..😂
Mkuu Hapo umeamua kuwachana makavu wanga wakoMsinifundishe kazi nyie ndo wachawi wenyewe sasa mnataka dada wa watu awe single mpaka lini