Natafuta mchumba.

Mh..!!We ni mgeni wa mitandao?Mbona wengi tu wamepata wenza kupitia mitandao na hata kama ana sifa nilizozitaja bado anaweza kutumia mtandao.
mwambie hiviiii.....una rafiki yako anaitwa Preta anategemea kuolewa mwisho wa mwezi huu na mchumba kampata humu humu JF kupitia MMU.....mwambie hivyo
 
Kama hamjanielewa nipeni mji niwatafsirie maana ya post hii.Naona hakuna hata mmoja aliyegusia hata kidogo nilichomaanisha ila ukweli ni kuwa sina shida ya mchumba kama mnavyojaribu kunielewa.
awe kipofu asiangalie visivyostahili, kiziwi asisikilize mabaya na majungu,
kifupi unahitaji mtu ambaye ni mchamungu.
Nimepata eeh?
 
awe kipofu asiangalie visivyostahili, kiziwi asisikilize mabaya na majungu,
kifupi unahitaji mtu ambaye ni mchamungu.
Nimepata eeh?
Wow,sina hata cha kusema,unadhihirisha tu kwamba utu uzima ni dawa maana ulichoeleza ni sawa na kuwa tulikuwa tunafikiria pamoja.Hongera mama kwa kunipa jibu sahihi,lakini hujamalizia upande wa bubu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom