Natafuta mchumba.

Natafuta mchumba.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,994
Reaction score
5,233
Sifa awe kipofu halafu kiziwi tena bubu kama una sifa hizo tu wasiliane PM.
 
haichekeshi...na inadharirisha wenye huo ulemavu...achana nayo


Kama ungeelewa nachomaanisha wala usingeandika ulichoandika na ndio maana ikaitwa The home of great thinkers.You need to be a great thinker to understand some members posts
 
afu mijitu (samahani kwa kuwaita mijitu) ya humu ndani facebook sijui inaionaje,kwa vile wabongo wengi wameigeuza kuwa sehemu ya kutongozana na kuuzia sura basi mmeishusha hadhi kwel kwel...lakini facebook inabaki kuwa the best social community application inakubalika kila sehem isipokua tu hapa JF
 
no haijakaa kuchekesha na tena inadhalilisha wenye huo ulemavu
 
Kama hamjanielewa nipeni mji niwatafsirie maana ya post hii.Naona hakuna hata mmoja aliyegusia hata kidogo nilichomaanisha ila ukweli ni kuwa sina shida ya mchumba kama mnavyojaribu kunielewa.
 
Utawasiliana vp na mtu unayemuhitaji kupitia mtandao?
 
Utawasiliana vp na mtu unayemuhitaji kupitia mtandao?
Mh..!!We ni mgeni wa mitandao?Mbona wengi tu wamepata wenza kupitia mitandao na hata kama ana sifa nilizozitaja bado anaweza kutumia mtandao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom