juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Habari wanabody, nadhani wengi mnafahamu ya kwamba mimi ni chadema. lakini sio chadema kindakindaki yaani sio mfia chama.inapotokea kukosoa huwa nakosoa tu. Nirudi kwenye mjadala sasa. Juzi kulikuwa na chaguzi ndogo.
Ni wazi UKAWA tumegalagazwa vibaya sana na CCM. hii ni ishara mbaya kuekea 2020 na ni kengele nyekundu huko tuendako. tukubali tukatae ni kwamba makosa yaliyofanyika mwaka juzi 2015 ya kumpokea fisadi na kisha kumzungusha nchi nzima kama mgombea ndio yatakayotugharimu.
Kwa hiyo zile porojo wanazotoa baadhi ya watu kwamba mara tume sio huru, mara ccm inategemea dola mimi huwa napingana sana.kwanza kwa nini uingie kwenye mashindano ambayo una mashaka nayo? Na pia kama ingekuwa ni hivo basi watu kama akina Tundu Lisu, Lema, Mbowe n.k wazingekuwa wabunge leo hii,kwa sababu wangeporwa ushindi wao.
Kwa nini wapinzani hatupedi kukubali kwamba tumezidiwa kete? Yaani wewe ukae uzungushe mikono hewani harafu utegemee ushindi? kwa hiyo hao madiwani, wabunge, wenyeviti wa mtaa, vijiji na vitongoji wa Ukawa walishindaje?
Tuache porojo.makosa tunayo wenyewe ya kubadili gia angani ndio yanatugharimu sasa.