The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Ewaaa!!! Weekend on me:dance::dance:Tuliza moyo.... Siwezi kumuacha mkubwa wako... He is everything...
Ewaaa!!! Weekend on me:dance::dance:Tuliza moyo.... Siwezi kumuacha mkubwa wako... He is everything...
bibie nimefungua nikajua wewe ndio upo lonely
Mee tuu Saint!..lol
Ila Asha bora umepoint out..wengine wanasema 'natafuta mke'!!..sasa mke wa mtu au? lugha bwana!
JAMANI NIMETANGAZA KUTAFUTA MCHUMBA MAToKEO YAKE lijitu IMECHUKUWA E-MAIL YANGU lIMEANZA KUNTUMIA MAMBO ya kipuuzi+mitusi halafu lianaume sasa hadi imenibidi ntoe post NINI HII! au nliielewa tofauti hii love connect huenda si kwa matumizi nlozania mie au huwa haiwezekani kupata MPENZI humu??? sababu naona watu masihala yamezidi hata kama mtu uko serious..Uhuu!! najua wengi wanaotubeza sie tunao tafuta wachumba humu huenda wameoa au wameolewa bt sio vzuri wana jf kila kitu kitumike kadri ya matumizi yake yanayo stahili, kama huhitaji mchumba ya nini kuanza kubeza wenzio wenye nia hiyo lol tuelimeke wajemeni.
madhara yake hapo juu ni mamalamiko ya KAUK
Do you wanna pop champagne???Make it worth while, it was a long tiring week for me.... :whoo:
Hahaha!!! I have a special one which i have just bought it for you actually it's from Champagne Region from FranceThat would be lovely, but i suggest you use the one opened here you brother and i were kind of using it .....lol
Sure kabisa if you want i can book for an early morninglane:lane:lane: for SeychellesIn that case why NOT! Naona hapa there is no need of opcorn:
BelindaJ pole ni otherwise... tayari ninae ningekua sina ningetuma bonge la post...lol
Watu wanachakachua love connect bana, ina boa - I think ikichuliwa serious kila mwezi wana JF tutakuwa tunaalikwa harusini... hilo ndo hasa shida yangu!
Hizo tips kuna sehem unataka tueleze sifa zetu za ndani. Tukieleza sifa za ndani si sredi zetu zitapelekwa jukwaa la wakubwa?. Naomba ufafanuzi na mifanoJifanye kama hujui kua una CASE ya ushenga... sitaki kongelea itanitia stress... la muhimu umesoma hizo TIPS???
Hizo tips kuna sehem unataka tueleze sifa zetu za ndani. Tukieleza sifa za ndani si sredi zetu zitapelekwa jukwaa la wakubwa?. Naomba ufafanuzi na mifano
Klorokwini na uchungu wako woote dawa yako ni ndogo...
Kuna dada anatafuta uchumba.. nimependa alivyooandika yani
kwa ufasaha kabisa! Toka kidogo hapo nje ni kama nyumba ya 5
dada anaitwa Foibe... jinsi alivyoandika kama vile kigezo cha marking....
Huo uzi unaitwa NATAFUTA MCHUMBA/MUME WA NDOA...
Usipoelewa hapo ina maana bado under age ya kutafuta.
hehehe Asha D bana! mimi neksti week nataka kulembea sredi hewani sasa nataka nisifanye kosa. Sasa sifa za ndani nilizani unataka tuelezee mpaka size zetu khaaaa! :tape:
Dah! acha nilog out nikaanze maandalizi ya CV! Japo mzuka umepungua baada ya Asha D kujiweka pembeni, lakini haijalishi!lol.......lol.......lol....lol
Good ina maana umeelewa....:cheer2::cheer2::cheer2:
Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa – jamani hii title imeanza kupunguza uzito wake hapa love connect…. Hili ni jamvi la love connect but inaonekan sasa kama vile linakua la people connect… Wanaosaka wapenzi wanatangaza kama vile wanatafuta product…Jamani kwa wale ambao wako serious kutafuta wachumba awe wakike au wa kiume walau basi kuweni serious na post mnazotuma kuonesha ni kweli unahitaji huyo mtu…
Tips kabla hujatuma
Na mengineyo ya muhimu…
- Eleza sifa zako za nje na ndani zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia naona pia unamata.
- Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unae muhitaji na wewe pia umeainisha zako.
- Kama yupo JF pleeeeeeeeease m-PM mana hamna haja ya kutupa wote faida otherwise kama mnatualika harusi…
- Toa contacts walau e-mail address mana CM utakua umepalia makaa..
- Unapotuma thread onesha basi you mean it maana kama ni utani it is better ikiwa jukwaa la jokes…
Dah! acha nilog out nikaanze maandalizi ya CV! Japo mzuka umepungua baada ya Asha D kujiweka pembeni, lakini haijalishi!