Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

mimi ni binti wa miaka 25 nimeokoka muajiriwa degree holder natafuta mchumba aliyeokoka umri kuanzia 28 mpaka 35.elimu kuanzia kidato cha sita awe ameajiriwa au amejiajiri...aliye tayar karibu pm
 
Walaaam!
Kama jukwaa linavojieleza naona kuwa watu wengi sana wakike kwa wakiume wakitangaza uhitaji wao.Tatizo linakuja pale mtu anapotangaza uhitaji wake bila kuweka sifa za mwombaji. Ni vizuri kuwa clear ili hata mwombaji ajue kama anasifa au laa.
Namuona kabisa mume wangu hapa tafadhali kati ya men waliojitangaza anaehitahi mke mweupe, mkristo digrii holda, mfanyakazi serikalini english figa yenye kahipsi na katako, age 25 sio mref sio mfupi tabia tutachunguzana kwanza aje pm tubonge.Ni hayo tu.

Duh!! Umenigusa kwenye mtima wa moyo na kuPM muda mfupi ujao
 
Habari!Natafuta mchumba umri 18-26 awe maji ya kunde,au mweupe,elimu awe na certificate,dip au degree,mimi nina diploma of ed,nafanya kaz dar,umri wangu 29,maji ya kunde,nipo smart pia handsome,call me 0683848116
 
Natafuta mchumba awe na miaka kuanzia 21 had 26 dini awe mkristo ambaye yuko tayar anichek hzi 0769989922 na 0719979922
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom