kahwajr2
Senior Member
- Jun 20, 2015
- 122
- 2
Natafuta rafiki Wa kiume awe mrefu kias muelewa , mfanyakazi , awe mkristo tuwasiliane 0713640549 kwa kufahamiana zaidi.
Tutaftane 0752943198
Natafuta rafiki Wa kiume awe mrefu kias muelewa , mfanyakazi , awe mkristo tuwasiliane 0713640549 kwa kufahamiana zaidi.
una mkia mrefun lakn?Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa jamani hii title imeanza kupunguza uzito wake hapa love connect . Hili ni jamvi la love connect but inaonekan sasa kama vile linakua la people connect Wanaosaka wapenzi wanatangaza kama vile wanatafuta product Jamani kwa wale ambao wako serious kutafuta wachumba awe wakike au wa kiume walau basi kuweni serious na post mnazotuma kuonesha ni kweli unahitaji huyo m
Tips kabla hujatuma
Na mengineyo ya muhimu
- Eleza sifa zako za nje na ndani zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia naona pia unamata.
- Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unae muhitaji na wewe pia umeainisha zako.
- Kama yupo JF pleeeeeeeeease m-PM mana hamna haja ya kutupa wote faida otherwise kama mnatualika harusi
- Toa contacts walau e-mail address mana CM utakua umepalia makaa..
- Unapotuma thread onesha basi you mean it maana kama ni utani it is better ikiwa jukwaa la jokes
Sifa muhimu "kazi" ya nini unaolewa au kuoa kazi?
Kauli mbiu ya hapa kazi tu umesahau?
Ha ha ha ha kweli hapa kazi tu
Wasio na kazi wangoje awamu ya sita
Duh hapa sijui nimechelewaWalaaam!
Kama jukwaa linavojieleza naona kuwa watu wengi sana wakike kwa wakiume wakitangaza uhitaji wao.Tatizo linakuja pale mtu anapotangaza uhitaji wake bila kuweka sifa za mwombaji. Ni vizuri kuwa clear ili hata mwombaji ajue kama anasifa au laa.
Namuona kabisa mume wangu hapa tafadhali kati ya men waliojitangaza anaehitahi mke mweupe, mkristo digrii holda, mfanyakazi serikalini english figa yenye kahipsi na katako, age 25 sio mref sio mfupi tabia tutachunguzana kwanza aje pm tubonge.Ni hayo tu.