duh kwa heri ila kama vipi kaoeni somalia mzae vig.......muungano si tatizo, tatizo ni nyodo, maringo na majivuno ya wadada wa bara. Muungano ukivunjika wakaka watakwenda DRC, zambia au malawi.
duh kwa heri ila kama vipi kaoeni somalia mzae vig.......muungano si tatizo, tatizo ni nyodo, maringo na majivuno ya wadada wa bara. Muungano ukivunjika wakaka watakwenda DRC, zambia au malawi.
muungano si tatizo, tatizo ni nyodo, maringo na majivuno ya wadada wa bara. Muungano ukivunjika wakaka watakwenda DRC, zambia au malawi.
Kwanza senksi, lakini mbona umeenda mbali, kuna wana EAC wapo, si naskia kuna soko la pamoja la Afrika Mashariki-Je kwani hiyo pia haijaingizwa katika hilo soko? tena naskia huko kwa Kagame watoto bomba na ukifika ni kumwita shehe au mchungaji mnamaliza mchezo mnapanda Reli ya kurudi bongo aliyozindua mkuu wa nchi juzijuzi apa-poa
duh kwa heri ila kama vipi kaoeni somalia mzae vig.......
kama vile huna dadazako wanaoitaji kuolewa siku flani...au ndio kutushikisha adabu??Marytina, unadhani wasomali wanafuatwa, wanakuja wenyewe....vijana wanajipakulia tu.
Nimetoka Jukwaa la Siasa huko, yaani linafuka moshi kuhusu vuguvugu la kuvunja Muungano, baada ya kutafakuri kwa kina nikaona bora mie nichukue hatua za kuuimarisha huu Muungano badala ya kuuvunja kwa kutafuta mchumba binti mwenye umri kati ya 19-30 mzanzibari kindakindaki-ili hata ukivunjika bac udugu wa damu uendelee ku-exist (Hata hivyo mapenzi ya kweli yatazingatiwa, kudumishwa na ndiyo sababu kuu ya kutaka mchumba). Awe na elimu at least form 4, dini yoyote ile; Kuhusu mimi ni Mtanganyika swaafi wa kipato cha wastani kisichotegemea ufisadi bali radhi za M/Mungu.
Muhitaji wa kweli ani-PM
kama vile huna dadazako wanaoitaji kuolewa siku flani...au ndio kutushikisha adabu??
hapo red unaongopa manake mahari ni negotiation na huchukuliwa kama deni la kizazi na sio kulipa onspot.migarama ya harusi ni kujitakia misifa sio itifaki ya kuheshimiwa sana.Marytina Nina madada wengi, wengine wameolewa na wengine bado. tatizo I am a realist ambaye siwezi kutomwambia mtu ukweli, ninyi wadada wa bara mmekuwa ma-idealist mno mpaka vijana wanawaogopa na ndiyo maana mnaona kama vijana hawataki kuoa, kumbe wanawaogopa kutokana na tabia na desturi ambazo mmejitengenezea kiasi kwamba zinasababisha inferiority complexes kwa vijana. Jamii pia hasa ya kikristo inachangia mno kwa hili, mahari nyingi, gharama kubwa kwa harusi.
Jichunguze wewe mwenyewe ikiwa una tabia ambayo unaona hata rafiki au boyfriend wako inamfanya asite kufanya maamuzi irekebishe au iache, or ask him. or ni-Pm I can advice you more.
hapo red unaongopa manake mahari ni negotiation na huchukuliwa kama deni la kizazi na sio kulipa onspot.migarama ya harusi ni kujitakia misifa sio itifaki ya kuheshimiwa sana.
sielewi huo uamuzi mbovu ya kuoa zenji, kwa nini msitueleze kutaka kutuoa ndio tuafikiane namna ya to make dream true kuliko just kuoa zenji hata msiowapenda?si jamii zote zinatoa/au kupokea mahari nusu nusu. Hiyo gharama ya mijisifa ndilo tatizo kubwa, nini huelewi hapo.
wakaka mkianza hizo sie wadada wa bara tuolewe na akina nani???
sielewi huo uamuzi mbovu ya kuoa zenji, kwa nini msitueleze kutaka kutuoa ndio tuafikiane namna ya to make dream true kuliko just kuoa zenji hata msiowapenda?
my wife wangu nimemkuta huku anajinadi mzenji wakati siyo!
Miaka 30 kindakinda. Unamaanisha nini? Maumbile au?
sielewi huo uamuzi mbovu ya kuoa zenji, kwa nini msitueleze kutaka kutuoa ndio tuafikiane namna ya to make dream true kuliko just kuoa zenji hata msiowapenda?
kweli na kwa bongo ya leo anayesema sijaamua kuolewa anaacha maswali kibao ya kutushangaza.Marytina, hapa nilipo natetemeka kwa msisimko/light shock nilioupata wakati nasoma post yako-nilishasema nyie mkiguswa mnadai "sifikirii kabisa kuolewa kwa sasa" sasa kosa letu letu nini? Da Marytina, kumbuka kuwa "Bad money drives away good money out of supply"! au unasemaje na katika dhana hii!
wa uganda naye mkee????????????????????????????Tatizo wadada wa bara mnajichubua sana.Binafsi ama zenj au kenya (kuimarisha EAC)hawa natural sana no mkorogo.
EAC kuna issue zake, wadada wa kenya ni ma-opportunist tu, waganda nao wanaenda hukohuko hasa baganda's watutsi ni balaa usipime.
Fanya utafit kila aliyeoa mtusi utakuta watoto wanafanana na mama kwa mwonekano kwa kisingizio kuwa watutsi wana damu kali, but the truth is terrifying.
Wanawake wa kitutsi wana tabia moja, ikiwa mume wake si mtutsi na hajui tabia zao, on every danger days (zile possible za kupata mimba) lazima awe na mwanaume mtutsi mwenzake pembeni kama inawezekana, hata kama ni uncle wake au binamu yake ambaye atahakikisha in those days jamaa anamega kabla ya mume hata kama ni mchana, ili kama ni mimba iwe ni ya mtutsi na si asiye mtutsi. Besides inasemekana ni Feminine soxiety - watoto ni wa mama si baba. So be careful if you have a dream of marrying a tutsi nawe si mtutsi.
wakaka mkianza hizo sie wadada wa bara tuolewe na akina nani???