Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,020
Kama kutongoza hajui tegemea kubakwa kila siku... USIDHANI KUTONGOZA KUNAISHIA SIKU MNAFUNGA NDOA..Hao wazur,,, sio watu wa kulalamika ila akikasirika unamjua ,,,kwa research yangu huwa wana upendo wa kweli coz kutongoza hawajui
Nlijua unachuraa.... UshafeliNimesema mm mwembamba so chura la kimodo.
kaka usipende kukomment kitu usichokijua,,am sure hata kama una dada mzr wengine nawatoa nock out,,,by the way ,,,olewa na mtu uliempenda coz ndoa ni kama kifungo cha maisha ,,,usifanye kosa hapo,,,nimemaliza wengine am sure watanielewa.Ungepata hata wawili wa kukusalimia mtaani kwako usingekuja kutujazia threads humu...,inaonesha umekosa soko mtaani kwako!! Usichojua tu ni kwamba waliopo humu si malaika,ni haohao wanaokukataa mtaani kwako, jiandae kisaikolojia ukikutana nao...
nitamfundisha kuomba,,,Kama kutongoza hajui tegemea kubakwa kila siku... USIDHANI KUTONGOZA KUNAISHIA SIKU MNAFUNGA NDOA..
si Amesha sema kwamba hata yeye ni Yuzdi siyo Manganyu Mkuu!Kwa masharti haya ujiandae kuweka shuka nyeupe hadharani. Asije akakuta imeshavurugwa na kuwa handaki
haina shidaNlijua unachuraa.... Ushafeli
Sifa za modo ni zipi?mm ni modo,,,
Wakolakabinti ka Kihaya kana mikogo hatari sana Nyegera Turabonanga Nyekya.
ha ha haaaaaDuuh Iwe Kaisiki bojo, mm nimekosa Kigezo kimoja tu, nina Mtoto tayari. Endelea kutafuta ila ni Malaika tu ndo mwenye sifa zote unazotaka.
Asante kwa ushaurTafuta muendesha piki piki yan boda boda anakufaa sanaa
Hayo mawazo yako,,,,,Mpaka unafikia hatua ya kutafuta mchumba humu ujue ww umeshndkana ndo mana unawatafuta wasiokujua ila mm ni mhaya mwenzio mamaa(Byangwamu)
WW tayari una negative attitude iyo kuja kuitoa ni kazi mno ila kila mtu ana uniqueness ambayo Mungu alimuumbia so Mungu akusaidie hayo mawazo yabadirike,,,by the way nataka mwenye kazi tu izo mali tungetafuta wote tu.haijalishi una nn!Tatizo la wahaya umalaya,majivuno,kiburi na kutopenda ndugu wa mwanaume any way nna miaka 30 elimu yangu ni f6 nna kampuni yangu na nyumba mbili za maana tu, nnayo magali mawili ya kutembelea na account yangu iko vizuri kama uko tayali ni pm ntakuoa.
am sure akija girl friend wako haoni ndani!Ww una sura mbaya, unajipa moyo tu
[emoji1] [emoji1] .....jamani leteni mrejesho maana ms shunie mrembo wa karne ànataka nae pia ATANGAZE NIA [emoji12] [emoji12]hivi uko mtaani kweli hampati watu? maan humu ata mrejesho hamleti kama mmeshapata leteni mrejesho ili na sisi tuweke mabandiko yetu
mana hatujui wanapata kweli au uongo[emoji1] [emoji1] .....jamani leteni mrejesho maana ms shunie mrembo wa karne ànataka nae pia ATANGAZE NIA [emoji12] [emoji12]