X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
Mkuu pole na mtihani ulio kupata. Ushauri wangu ni kwamba, waone wale jamaa wa ANGAZA au Njia Paanda (Cloud FM), kwa ushauri nasaha, ila sijui ofisi zao zipo wapi. Nadhani ukiulizia ulizia unaweza kuelekezwa wapi zilipo.Nina umri wa miaka 35 natafuta mchumba ambaye ni muathirika. Mimi mwenyewe ni muathirika nimegundulika mwaka huu mwezi Feb. Kazi yangu ni mfanyabiashara.