Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,578
- 98,091
Mbona Mimi siwaoni 😂😂
Wewe subiri demu wako wa form six amalize shule
Mbona Mimi siwaoni 😂😂
😂😂😂🙌🏾🙌🏾Wewe subiri demu wako wa form six amalize shule
Toka kajiunga JF ana nyuzi 4 tu na zote ni za kutafuta mchumba tu.Anatafuta na hapati labda sababu haeleweki
Hivi humu kushawahi tokea ndoa kabisa?Kwa membersToka kajiunga JF ana nyuzi 4 tu na zote ni za kutafuta mchumba tu.
For your reference😂😂😂🙌🏾🙌🏾
Toka kajiunga JF ana nyuzi 4 tu na zote ni za kutafuta mchumba tu.
Mimi nimetania tu Niko serious na mchumba wangu😂😂mvumilivu hula mbivuFor your reference
Wakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa Nina miaka 25 na najitambua kabisa na Kuna mbaga nafanya baada ya kuona kufatilia ajira za serikali ni michosho
Je nizidi kumsubiri Binti aje kuwa my wife?
Au nianzishe niwe na mwingne tu maana Binti ana miaka kama mitano hivi ya elimu ,Japo kwao mama ake na baadhi ndugu zake wananijua ila Mzee wake...
- Dodoma comfort
- ili nifanye
- Replies: 242
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Hatar yaan watu wanafukua makaburiMleta uzi amekimbia baada ya kuletwa VAR
Utajua mwenyeweMimi nimetania tu Niko serious na mchumba wangu😂😂mvumilivu hula mbivu
Sawa head girl 😌😌Utajua mwenyewe
Amekwishwaa😂😂🫵Mwaka 2025 ulikuwa kwenye early 40's
Mwaka 2026 upo late 30's
Kwanini unaongopa??
Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini upendo wa kweli, uaminifu, na ukuaji wa pamoja.
Kuhusu Mimi:
- Ni mwanaume ninayejiheshimu na pia ni mtu mwenye heshima katika jamii inayonizunguka, ni mtu mwenye malengo chanya na mwenye maadili.
- Vile vile ni mtu mwenye maono na shauku ya kuwa na maendeleo ya kibinafsi na ya kifamilia,
- Nina shahada ya juu kutoka Chuo kikuu
- Nina ajira ya kudumu katika taasisi ya umma na...
- Sognsvann
- kudumu maisha mke mwenza natafuta uhusiano
- Replies: 64
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Nimesema kwa mwenye uhitaji. Ningekuwa nimefanikiwa maana yake nisingekuwa hapa.Mwaka 2025 ulikuwa kwenye early 40's
Mwaka 2026 upo late 30's
Kwanini unaongopa??
Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini upendo wa kweli, uaminifu, na ukuaji wa pamoja.
Kuhusu Mimi:
- Ni mwanaume ninayejiheshimu na pia ni mtu mwenye heshima katika jamii inayonizunguka, ni mtu mwenye malengo chanya na mwenye maadili.
- Vile vile ni mtu mwenye maono na shauku ya kuwa na maendeleo ya kibinafsi na ya kifamilia,
- Nina shahada ya juu kutoka Chuo kikuu
- Nina ajira ya kudumu katika taasisi ya umma na...
- Sognsvann
- kudumu maisha mke mwenza natafuta uhusiano
- Replies: 64
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Naomba ujiheshimu. Usijione unajua kila kitu. Kama huna mwanaume wa kukutuliza usilete hasira zako kwa watu wengine.Mungu kashaonesha wachumba huyu bwana ni muongo muongo
DuuhNaomba ujiheshimu. Usijione unajua kila kitu. Kama huna mwanaume wa kukutuliza usilete hasira zako kwa watu wengine.
Natambua wewe ni age go na huna vigezo pita kushoto tafadhali.
Nakufahamu mshangazi tulia nisikuongezee stress
Nimesema kwa mwenye uhitaji. Ningekuwa nimefanikiwa maana yake nisingekuwa hapa.
Sio vizuri kujifanya mjuaji wakati hujui lolote.
Naomba ukae kwa kutulia.
ASANTE
Naomba ujiheshimu. Usijione unajua kila kitu. Kama huna mwanaume wa kukutuliza usilete hasira zako kwa watu wengine.
Natambua wewe ni age go na huna vigezo pita kushoto tafadhali.
Nakufahamu mshangazi tulia nisikuongezee stress