Natafuta "MCHUMBA/MKE" lengo NDOA

Natafuta "MCHUMBA/MKE" lengo NDOA

Habari.
Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mahusiano ya kudumu "NDOA NA KUJENGA FAMILIA BORA PAMOJA".
Awe na miaka kati ya 22 hadi 33.

NB: Kama yupo mwenye uhitaji wa dhati basi tuwasiliane kwa njia ya pm ili tufahamiane na kuona kama tunaweza kutengeneza mahusiano bora na hatimaye tuweze KUJENGA FAMILIA BORA pamoja.
Nipo kwenye late 30's, mkristo mkatoliki, graduate, na pia nina kibarua cha kunisaidia kuendesha maisha yangu.

KARIBU SANA
Hongera mkuu na Kila la kheri.
 
Ila uko unapo kaa hakuna wanawake?. Vipi kwenye mizunguko yako hukutani na wanawake?. Mbaka humu mtandaoni. Au ndy lengo la kuoa then unachapa unatembea.
 
Ila uko unapo kaa hakuna wanawake?. Vipi kwenye mizunguko yako hukutani na wanawake?. Mbaka humu mtandaoni. Au ndy lengo la kuoa then unachapa unatembea.
Ungekuwa jirani ningeweza kukueleza kwanini nimeamua kuandika hapa jukwaani.

But anyway lengo ni kutoa uwanja mpana kwa mwenye uhitaji na wala sina lengo la kutafuta MALAYA hapa jukwaani.

Naelewa jf ina decent people and they are respectful to the community/society.

Thank you for your compliment
 
Ungekuwa jirani ningeweza kukueleza kwanini nimeamua kuandika hapa jukwaani.

But anyway lengo ni kutoa uwanja mpana kwa mwenye uhitaji na wala sina lengo la kutaguta MALAYA hapa jukwaani.

Naelewa jf ina decent people and they are respectful to the community/society.

Thank you for your compliment
Ikawe baraka kwenye chaguzi na lengo lako
 
Nadhani wewe ndio unaweza kuwa kichaa zaidi. Bila shaka una matatizo ya afya ya akili. From no where huwezi kumuita binadamu mwenzako kichaa tena mtu ambaye hata humfahamu.
UJIHESHIMU, ACHA USHABIKI MAANDAZI
Kufahamu akili na kichaa Cha mtu ni anawaza nini, anasema nini na huku mitandaoni anapost nini, with due respect hii post Yako inatoa ukakasi kama kichwani una uzima
 
Not every woman is having a merit to become a "wife". I hope you understand it well.
Weeeee shemegi kumbe na kinge unajua hivi afu kimenyooka.....unamaanisha nini lakini mi sikijui.

Humu una zaidi ya mwaka harakati hazijatiki, zimekua kama za Dr. Pimbi inabidi ucheki chimbo lingine.
 
Mwaka 2025 ulikuwa kwenye early 40's
Mwaka 2026 upo late 30's

Kwanini unaongopa??

VAR check 😹😹
 
Atoe shuhuda sasa, make nshaanza kupiga simu kwetu naulizia mchumba huyu ndugu apate.
Please read me between the lines Madam, usifuate USHABIKI MAANDAZI.

Otherwise nikutakie HERI NYINGI NA MUNGU BABA WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA
 
Back
Top Bottom