Natafuta mchongo wowote halali, nipo Mwanza

Sea Beast na Exformer fursa mliyo itaka ndo hii.
 
Ninakuja inbox kiongoz
 
Mkuu nime ona una saka job na home no kigoma, je unaeza tafuta maeneo ya kulima maharage.
[emoji117]Sehemu yenye rutuba, with cheap price ya kukodi- 20-30.
[emoji117]Eneo lenye chanzo Cha maji, Kuna mtu alitaka akapige mishe huko Exformer
Naam kigoma maeneo yenye rutuba yapo kaka na ni village ila kuna fikika
 
Una digree na unalialia,wasomi mnafeli wapi?kuwa na digree Ni mtaji tayari,Dar graduate wengi wanaendesha ubber,kwanini mlisoma?

Sie hatuna digree na tuna hangaika kinoma wewe na degree yako unaomba mchongo!!

Shame on you
 
Upo Mwanza maeneo gani? Jaribu hata kiwanda cha nondo kinachotengenezwa nje kidogo ya Kisesa, barabara ya Musoma.

Kila siku nawapita pale vibarua wanaenda kupiga kazi, nenda kajaribu fusa pale.
Vibarua???MTU ana digree
 
Una digree na unalialia,wasomi mnafeli wapi?kuwa na digree Ni mtaji tayari,Dar graduate wengi wanaendesha ubber,kwanini mlisoma?

Sie hatuna digree na tuna hangaika kinoma wewe na degree yako unaomba mchongo!!

Shame on you
Inanibidi nikubali yote kaka
Kuwa na degree haina maana kuwa umeshayafikia maisha ipasavyo ..kuwa na cheti ni hatua moja na kupata ajiria ni hatua ya 2 unahitaj kuikazania kama.ulivyokazania masomo unless uwe na mtu wa kukushika mkono.
Binafsi nilikuwa na mpango wa kuitafuta leseni lakin ni lazima nipate hela ya kwenda huko.

Yote kwa yote ahsante kwa ushauri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…