Natafuta mbwa wa kufuga.

Natafuta mbwa wa kufuga.

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
5,568
Reaction score
5,388
Wana JF, natafuta mbwa wa aina ya Bishon Frisé. Wakiwa pure hua ni weupe but I am looking even for a bastard (frist generation). Awe at least 2 month old na awe amepata chanjo zote za mwanzo.
Picha ya bishon frisé ninae mtamani hii hapa, please make sure it is one of them. not a caniche, not a Samoyede, just a Bishon. Kama hayupo Dar si hoja, bora awe EAC, then atasafirishwa.

bichon%20frise.jpg
 
Kama huna but una link nzuri ya watu wenye kuaminika please post it pia.
 
Alter you are so sent on kuipata so soon? Remember it has to be really cute... and Lovable! lol
 
Alter you are so sent on kuipata so soon? Remember it has to be really cute... and Lovable! lol
Presha Alter, presha. Unamjua mwanao akililia kitu, ndani hakutoshi! lol
 
Duh! Kumbe mimi bado sana, huyu naye ni mbwa
A%20S-confused1.gif
??? Khe, nilijua hili ni mdoli, kama nisingesoma content ningekuelekeza pana jirani yangu anafuga mbwa wengi na tena wawili wamezaa
 
Duh! Kumbe mimi bado sana, huyu naye ni mbwa
A%20S-confused1.gif
??? Khe, nilijua hili ni mdoli, kama nisingesoma content ningekuelekeza pana jirani yangu anafuga mbwa wengi na tena wawili wamezaa
Hahahaha, huyu anafaa kufugwa ndani ya nyumba, tena ni wazuri kwa watoto. Jirani yako ana mbwa wa aina gani? au ni hawa wetu tu wa kawaida?
 
As if wampa kila aliliacho! lol... But the puppy is worth it.... it is a "yes" all the way....

Sio kila kitu. Hii I promised nitampa, sasa hapa majuzi kaona puppy for sale ndio akakumbuka. she wants it and she wants it now. Unfortunately the ones we saw are not adoptable at present (nimekutumia picha yake kule). Sijui nitafute wapi sasa.
 
I know dear.... I know... Nimeona. Really really cute. I know utapata, naona Boflo tayari anafanya the needful....lol
 
I know dear.... I know... Nimeona. Really really cute. I know utapata, naona Boflo tayari anafanya the needful....lol
Boflo hana bwana, ananirusha roho tu. Nimemwambia alete picha kwa PM, I haven't seen any PM so far. Halafu hiyo bei yake, sawa na a mature/trained security dog...
 
mbwa anauzwa Usd 700??
Wakati huku kwetu hadi 2500 unapata wa ukweli tu!
 
ninao shih tzu,wadogo,bei ni 400USD each,wapo 6,na wote wanapatikana arusha, waoto wa ebony.jpg kama upo interested niPM
 
Mi nao, lakini wa Kitoweo!!!!
Wa kufuga sina kwakweli!!
Hahahahaha, haya bwana. Mi nataka wa kufuga, na ndio maana nimesema hapo juu ili iwe wazi toka mwanzo. lol
 
Back
Top Bottom