Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,322
- 35,826
2500 tsh?
RR, usishangae hiyo bei mdau, hiyo ndo bei ya juu kabisa, tena ya ile mbwa kali na katili huku tunaiita mbegu fupi, aina nyingine unapewa bure kabisa. Musollini alijua unatafuta mbwa hawa wanaolinda na kuona wachawi kumbe, mweee, ni mbwa wa kukaa kwenye masofa na kula msosi wa supermarket