Natafuta mavazi ya kuvuna(kurina) asali

Natafuta mavazi ya kuvuna(kurina) asali

Mkuu nami nilikuwa na tatizo hilo nimeshauriwa ninunue kapet yaani tunazotumia kama kava ya Pikipiki ni shone kwa umahiri wa hali ya juu wanadai nyuki hawezi kukufikia hivyo nimepima mita 3 kwa kila mita 550 bei ya mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom