Natafuta Mashirika au watu binafsi wanaopokea na kufadhili tafiti na project mbalimbali

Hizo tafiti zinahusu nini?kilimo,afya,biashara,jamii kiujumla,sayansi au.?
 
!
!
tafiti katika maeneo mbalimbali...kifupi najiamini naweza kuandaa researches na proposals na nasikia kuna mashirika yako interested na wanatoa fedha kwa mambo hayo. Nimeshaandika ya next horizon concept note competition na pia nimeapeleka nyingine kwa bill and mellinda gates. Naona nimenogewa nahitaji mashirika mengi mengi zaidi
 
hongera mkuu!!
 
!
!
kwa wanafunzi wa vyuo pia natoa huduma za ushauri na maelekezo, nazirekebisha inapostahili. Sipendi ila kuna wengine nawafanyiaga hasa ninapooneshwa pesa.....karibuni.
 
Una umefanya tafiti ngapi mpaka sasa? na zinaangukia wapi,,publications,,special papers,,partial au journals? Unaweza saidiwa.
 
nimefanya tafiti tano mpaka sasa ukitoa ile ya chuo ambayo nilipata alama nzuri tu, pia nimeshiriki katika tafiti za watu mara zaidi ya tatu. Sijawahi kutoa chapisho lolote. Nataka kufanya kama shughuli hii kama chanzo cha mapato na ndio maana nimeamua kujaribu mwenyewe kusimamia show kwani vifaa ninavyo i.e laptop, modem na softwere za kuniwezesha kufanya kazi, nina connection na wataalamu ambao pia wanaweza kunisaidia resources mbalimbali nitakazohitaji. Mbali na maeneo niliyonayo ya kupeleka ambayo nayafanyia kazi kwa sasa, nahitaji kuangalia nafasi nyingine ambazo sizifahamu, kupanua wigo zaidi ndio nafanya. Nipate hizo contacts nizitie katika programs zangu za kesho. Hivo yani.
 
Wacheki The British institute in eastern Africa kama bado wanatoa mie nimeshalambaga uko kitambo, au ukijiamini na una atleast mastaz waone madingi wa repoa.

Kuhusu project uwe unachek updates za undp uwa wanaita proposal ila unapitia tahasisi rasmi sio as an individual.
 
unasema we ni mtafiti alafu tafiti zako 5 hujachapisha hata moja? zote umefungia kwenye box lako la mbao. Ili ujulikane kama mtafiti wa kuhaminika na sio kanjanja unapaswa uchapishe tafiti zako katika majarida ya kisomi , ili zijadiliwe na wasomi wenzako na theories/solutions zako zipimwe katika vitendo. bila hivyo utabaki unajitambua mwenyewe kama mtafiti.
 
sina masters mkuu na nilipita repoa juzi alhamisi, nitapita tena. Kuhusu kuwa institution hilo dogo,nina connections angalau na vyuo vidogodogo kadhaa naweza tumia migongo yao. Kibaya ni kwamba hivi vyuo vidogo viko busy na ada na wazo langu ni jipya mno kwao.
 
unasema we ni mtafiti alafu tafiti zako 5 hujachapisha hata moja? zote umefungia kwenye box lako la mbao. Ili ujulikane kama mtafiti wa kuhaminika na sio kanjanja unapaswa uchapishe tafiti zako katika majarida ya kisomi , ili zijadiliwe na wasomi wenzako na theories/solutions zako zipimwe katika vitendo. bila hivyo utabaki unajitambua mwenyewe kama mtafiti.

!
!
nimechapisha na zilinitengenezea hela. Hizo nilizoshiriki za watu pia nililipwa zikaishia pale. Niliposema machapisho sikumaanisha sikuzifanyia kazi, no. Labda tafsiri yangu mbovu ila nilidhani publication/journals ni vitu tofauti
 
ok mkuu. nakushauri uone namna kuwa memba wa taasisi za kitafti (think tanks) ili uepukane na kufanya kazi peke yako. kaza buti. penye niq pana njia.
 
gotcha...ila nimeajiriwa na namna nzuri ya kufanya kazi ni kufanya mwenyewe. Nitajaribu pia ili ikiwezekana napiga mzigo.
 
!
!
nimefanya tafiti tano mpaka sasa ukitoa ile ya chuo ambayo nilipata alama nzuri tu, pia nimeshiriki katika tafiti za watu mara zaidi ya tatu. Sijawahi kutoa chapisho lolote. Nataka kufanya kama shughuli hii kama chanzo cha mapato na ndio maana nimeamua kujaribu mwenyewe kusimamia show kwani vifaa ninavyo i.e laptop, modem na softwere za kuniwezesha kufanya kazi, nina connection na wataalamu ambao pia wanaweza kunisaidia resources mbalimbali nitakazohitaji. Mbali na maeneo niliyonayo ya kupeleka ambayo nayafanyia kazi kwa sasa, nahitaji kuangalia nafasi nyingine ambazo sizifahamu, kupanua wigo zaidi ndio nafanya. Nipate hizo contacts nizitie katika programs zangu za kesho. Hivo yani.

Nakushauri kuna short course inaanza mwezi huu REPOA kama hutajali.
Tuendelee,,Unaujuzi wa kutumia statistical packages zipi kwa ufanisi? Maana tafiti its all about data handling,analysis and presantations. Twende kidogo kidogo.
 
spss tu mkuu.
 
Mtafit lazima upublish ndo njia pekee ya kitaalam kuonesha uwezo wako...pulbication zinakuwa peer reviewed....sisi ambao hatuko kwenye eneo lako tunajenga imani tunapona ur peers wamekubali through publications...unaposema umeshiriki tafit nyingi ni muhimu kusema pia kama nani principle investigator, research assitant...grant application ulizofanya ngapi umefanikiwa ngapi bado...
 
Back
Top Bottom