lucy apolo
New Member
- Feb 7, 2021
- 3
- 0
Kwa yeyote anayejua sehemu zinapouzwa hizi machine na bei husika ni wapi naweza kuzipata
AsanteMwanzoni mwa waka huu nilienda pale SIDO maeneo ya Jet lumo kwa mbele kama unaelekea Tazara. Lengo la kwenda pale ni kuulizia mashine flani.
Nikaelekezwa kwenye mashine za jamaa flani pale nikamkuta jamaa anatengeneza peanut butter, ameshajaza kama ndoo kubwa 8, nikajiuliza kumbe hii kitu inatengenezewa hivi.
Nenda pale SIDO hizo mashine zipo.
Wasiliana na ofisi za Sido zilizopo karibu yako, kama Upo Dar es salaam wanapatinana Nyerere Road karibu na Jet.Kwa yeyote anayejua sehemu zinapouzwa hizi machine na bei husika ni wapi naweza kuzipata