Natafuta mashine ya kutengeneza peanut butter

lucy apolo

New Member
Feb 7, 2021
3
20
Mwanzoni mwa waka huu nilienda pale SIDO maeneo ya Jet lumo kwa mbele kama unaelekea Tazara. Lengo la kwenda pale ni kuulizia mashine flani.

Nikaelekezwa kwenye mashine za jamaa flani pale nikamkuta jamaa anatengeneza peanut butter, ameshajaza kama ndoo kubwa 8, nikajiuliza kumbe hii kitu inatengenezewa hivi.

Nenda pale SIDO hizo mashine zipo.
Asante
 

Harry singo

JF-Expert Member
Apr 24, 2016
352
500
Ninazo mashine nilipata kutoka EFTA, ni mashine kubwa Imara, nakuuzia bei ya used, kama upo interested nichek pm
 

tanzaniadeveloper

New Member
Jul 13, 2021
1
20
karibu Tanzaniadeveloper kwa mwenye kampuni ya kutoa mikopo au kikundi au chama cha kuchangishna nikutengenezee system ya kuomba mkopo online kwenye kikundi chochote. Tumia simu yako ya kinganjani kuomb mkopo kiulaisi zaid.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom