PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 659
- 1,074
Wakuu habar za mwamko?
Nahitaji machine ya kuvunia mpunga Kwa ajiri ya kazi ya kuvuna mpunga msimu huu kuanzia mwezi4.
Nahitaji kujua aina ya machine iliyo bora na upatikanaji wake wa spears pamoja ana uimara wake.
Nahitaji kujua Bei elekezi na sehemu ya kuipata kwa uaminifu mkubwa.
Hivyo Kwa yeyote mwenye uzoefu na machine hizi ndogo za kuvunia mpunga anipe ABC.
Kama machine inaweza kuvuna heka ngapi kwa siku.
Machine inatumia lita ngapi Kwa heka Moja.
Location nipo Kanda ya ziwa: Geita, Mwanza, Shinyanga ndo sehemu nitazofanyia kazi hii.
Nimeamua nipo serious 100%
Ahsanteeni sana na karibuni Kwa michango yenu.