Natafuta Mashine ya kukata crips za ndizi

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
502
938
Wadau..natafuta mashine ya kutengeneza/kukata crips za ndizi. Mashine iwe ya umeme na iwe inafaa kwa mjasiriamali mdogo. Isiwe heavy duty.

Mwenye connection naomba contact za wauzaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom