Natafuta marafiki waislamu

Natafuta marafiki waislamu

nodetz

Senior Member
Joined
May 4, 2024
Posts
173
Reaction score
156
Wakubwa najua haiwahusu ila jana nimebadili dini rasimi na kua mwisilamu so nahisi naitaji marafiki wapya wanao elewa uislamu pls kama uko tiyali njoo inbox
 
Kwa majina naitwa Mohammed El Khonous.
Napatikana Walvis Bay, Namibia.
Ni muislam.
 
Tembelea misikitini oliyo karibu na hapo ulipo utawapata wengi.
Karibu sana! Naitwa Usama Bin Saddam.
 
Back
Top Bottom