asante mkuu nitajaribu kwenda hapo karume nikacheki mana nataka kubadili muonekano mkuuHongera mkuu. Nenda pale Karume, mbele kidogo ya TBL utapata makoti kadhaa... Juzi kati na mie nilinunua kamoja... Basi tangu nikavae hako kakoti, kila nikipita nilikuwa napata red carpet treatment... Kweli nimeamini muonekano hasa wa kimavazi unachangia kubadilisha perception ya watu...
Pia waweza kujaribu Posta mpya pale karibu na mnara wa askari kuna watu wanatembeza makoti utayapata kibao.