Msaka_uchawi
Senior Member
- Feb 16, 2017
- 104
- 214
- Thread starter
- #41
Hapa namwona mbwa mwitu akiwinda kwa mbaliiii [emoji16] [emoji16] [emoji16]Haha.. Mpe maujuzi
Mpe mbinu mkuu apate mapema.
Hapa namwona mbwa mwitu akiwinda kwa mbaliiii [emoji16] [emoji16] [emoji16]Haha.. Mpe maujuzi
Mpe mbinu mkuu apate mapema.
Mim hadi sasa sielewagi huyu charlie deby alinipaga Shunie sasa sijuw amemkataza...Deby anahitaji Bani ya century asee [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Swahiba mimi mtu poa bwana. Shemeji nitamheshimu japo sitamwogopa
Hahahahahaaa...Hapa namwona mbwa mwitu akiwinda kwa mbaliiii [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Yani anza kuhesabu karoho kako kametua sehemu salama isiyo na tashwishwi yoyotenjoo mama tuyajenge na ukahifadhi haka karoho,kalikochoka kusikia milio ya risasii
Haja wewe mtoto alikukubali ukashindwa kumkeep akakimbia. Tusilaumiane kwa hilo .Mim hadi sasa sielewagi huyu charlie deby alinipaga Shunie sasa sijuw amemkataza...Deby anahitaji Bani ya century asee [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Okey nitawaambia usijalNdio nataka kanafasi kakuweka karoho kangu
ok basi waabie moods wakurekebishie isomeke Ukhty
Hahaha Daby weka mbali na watoto, akikuweka sehemu basi kaa ukijua mbele utakuwepo wewe kugawasahani na watu wanaweza wakajua kama mgahawa wako ,ila yeye yuko jikoni ndio mpishi na mpakuzi na kuonja pia ,na inawezekana akaamuwa hata chakula kisije tena uko mbele[emoji4] [emoji4] [emoji4]Mim hadi sasa sielewagi huyu charlie deby alinipaga Shunie sasa sijuw amemkataza...Deby anahitaji Bani ya century asee [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Asante mama ,na kwanzia leo naomba ukaanzishe kauzi kenye anwani ifatayo; Kuwa umenipa hati ya kudumu ya uwekezaji kwako kwa mkataba wa maisha ,na Pia kuanzia sasa karoho kangu kapo kwako na salama bin salmini bila tashiwi zozote na utakalinda na miunguromo ya risasi zinazopogwa daslam!!Yani anza kuhesabu karoho kako kametua sehemu salama isiyo na tashwishwi yoyote
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kuna nini huko?Njoo kwa YESU (Zab:23)
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Haja wewe mtoto alikukubali ukashindwa kumkeep akakimbia. Tusilaumiane kwa hilo .
Na ban msinipe maana shemeji yenu ataipangua ofisini huko
Naomba utambulisho wa jinsia Tafadhali ukiambata na kapicha kako ka 2017 Pm maana haka kaofa ni kwa "Ke "Njoo nikuwekee kwangu huku kuna nafasi,hako karoho katakuwa ndani ya roho yangu,ss ukisumbua utanisumbua na mm.weka agano kwanza
Ayii bila shaka wale mbwa mwito wameshasikia na watakaa mbali mita 350Asante mama ,na kwanzia leo naomba ukaanzishe kauzi kenye anwani ifatayo; Kuwa umenipa hati ya kudumu ya uwekezaji kwako kwa mkataba wa maisha ,na Pia kuanzia sasa karoho kangu kapo kwako na salama bin salmini bila tashiwi zozote na utakalinda na miunguromo ya risasi zinazopogwa daslam!!
Na Wale mbwa mwitu wote wakae pembeni ,huna haja ya uwekezaji tena
Daby Huyu ni wa "ukoo" wako ujue?[emoji23] [emoji23]Mkuu heri nikupe pesa itafika ila sio kiburudisho ,
maana naskia una aleji navyoo [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Daby Huyu ni wa "ukoo" wako ujue?[emoji23] [emoji23]
Ni heri wakae mbalii maana si kwakuvizia huku waliko nako ila mungu anawaona na ataenda wauliza kwa uwindaji wao[emoji2] [emoji2]Ayii bila shaka wale mbwa mwito wameshasikia na watakaa mbali mita 350
Yani washindwe na kulegea viungo vyao vyote my switieNi heri wakae mbalii maana si kwakuvizia huku waliko nako ila mungu anawaona na ataenda wauliza kwa uwindaji wao[emoji2] [emoji2]
Haya umesha pata wa kukatunza hako karoho kako. Kakiungua kumbuka kurudi kwenye friji kapate ubaridiiii kapoe hahahahaAsante mama ,na kwanzia leo naomba ukaanzishe kauzi kenye anwani ifatayo; Kuwa umenipa hati ya kudumu ya uwekezaji kwako kwa mkataba wa maisha ,na Pia kuanzia sasa karoho kangu kapo kwako na salama bin salmini bila tashiwi zozote na utakalinda na miunguromo ya risasi zinazopogwa daslam!!
Na Wale mbwa mwitu wote wakae pembeni ,huna haja ya uwekezaji tena
Usikape majukumu yasiyo yake! Kaache na kazi yake ya asiliMimi ni mwekezaji mwenye nia hasa ,ya kutaka kuekeza karoho kangu ,mahali ambapo katakuwa safe ,ili kujinusuru na rabsha rabsha za jiji hili la daslamu na milio mingi ya risasi inayorindima kila kukicha...
Nia na makusudi kuwekeza karoho na wala sio pesa zangu ,pesa zangu ntatafuta pakuziwekeza ...