Natafuta Mahala Pakuwekeza Karoho Kangu..!

Natafuta Mahala Pakuwekeza Karoho Kangu..!

Haya umesha pata wa kukatunza hako karoho kako. Kakiungua kumbuka kurudi kwenye friji kapate ubaridiiii kapoe hahahaha
Hakuna maiti inayokosa mzikaji ,Nimepata pakuwekeza karoho kangu ashukuruliwe mola wa ibrahimu

wewe si ulikataa kukahifadhi karoho kangu ?[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Usikape majukumu yasiyo yake! Kaache na kazi yake ya asili
[emoji4] [emoji4] [emoji4] kanahitaji vile vile uwangalizi ,maana ukikaacha bila uwangalizi katashindwa hata kufanya kazi yake ya asili
 
Hahaha so interesting,mungu akusaidie upate mwekezaji anayejitambua vyema.
 
Hakuna maiti inayokosa mzikaji ,Nimepata pakuwekeza karoho kangu ashukuruliwe mola wa ibrahimu

wewe si ulikataa kukahifadhi karoho kangu ?[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hahahaha tatizo lako una chagua pa kuhifadhiwa
 
Mnafanyaga utani watu wanatimiza malengo yao kwa utani huo huo!!!
 
Hilo jina nikiliona vinyweleo vyote vinasimama kwasababu ya woga
 
Back
Top Bottom