Natafuta Mahala Pakuwekeza Karoho Kangu..!

Msaka_uchawi

Senior Member
Feb 16, 2017
104
213
Mimi ni mwekezaji mwenye nia hasa ,ya kutaka kuekeza karoho kangu ,mahali ambapo katakuwa safe ,ili kujinusuru na rabsha rabsha za jiji hili la daslamu na milio mingi ya risasi inayorindima kila kukicha...
Nia na makusudi kuwekeza karoho na wala sio pesa zangu ,pesa zangu ntatafuta pakuziwekeza ...
 
Chonde chonde mkuu,hali tete kuna vipanya vina meno ya chuma apa dalisalama,...vinakula ata mishipa
hao panya ndo nawajaribu kuwakwepa maana ukiwapa moyo watautafuta woteee watakuacha huna kitu

ndomana natafuta kasehemu ambapo kako safe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom