Thread Starter
JF-Expert Member
- Mar 16, 2017
- 1,394
- 1,070
SAKAYO BWANAKaweke mahali pema peponi
SAKAYO BWANAKaweke mahali pema peponi
usichoelewa hapo nini mkuu [emoji2] [emoji2] maana hata wamkoani saiv wanaelewakuwa muwaz bhna mbn vimisamiati
Sema Ameeen bhanaSAKAYO BWANA
bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe [emoji62] [emoji62]Kaweke mahali pema peponi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kanatafuta pakujisitiriii [emoji31] [emoji31] [emoji31]
asante mkuuKila LA heri mkuu,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huko ndo utakauwa kabisa maana hakataweza himili baridi kanataka jotrooooo[emoji87]
SASA SI UMFARIJI MWENZAKO ANAOGOPASema Ameeen bhana
Raha ya milele umpe eeh Bwana....bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe [emoji62] [emoji62]
mama wala usigope Id ,kama dini mtu anabadilisha itakuwa Id njoo chemba tuyajenge huwenda karoho kangu kakapata mahali safeNjoo nikuwekezee ila hiyo I'd yako inantisha bana
Apumzike kwa AmaniSASA SI UMFARIJI MWENZAKO ANAOGOPA
Hahaha mkuu mie mgeni ila wakat naingia humu nilitahadharishwa kuhusu Daby si wakuunda nae serikali ya umoja wa kitaifa ,Yatanikuta ya seifu na lipumba [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ndugu Mgeni Mwenyeji Msaka_uchawi kila la kheri katika kupata muwekezaji mwenzio. Ukifanikiwa usisite kutupa mrejesho. Daby anaweza kukusaidia kufanya social impacts assessment, na RRONDO Ni mzuri zaidi kwenye monitoring and evaluation so usisite kuwatafuta.
[emoji4] [emoji4]Raha ya milele umpe eeh Bwana....
Mpe mbinu mkuu apate mapema.Ndugu Mgeni Mwenyeji Msaka_uchawi kila la kheri katika kupata muwekezaji mwenzio. Ukifanikiwa usisite kutupa mrejesho. Daby anaweza kukusaidia kufanya social impacts assessment, na RRONDO Ni mzuri zaidi kwenye monitoring and evaluation so usisite kuwatafuta.
Haha.. Mpe maujuziNdugu Mgeni Mwenyeji Msaka_uchawi kila la kheri katika kupata muwekezaji mwenzio. Ukifanikiwa usisite kutupa mrejesho. Daby anaweza kukusaidia kufanya social impacts assessment, na RRONDO Ni mzuri zaidi kwenye monitoring and evaluation so usisite kuwatafuta.
Swahiba mimi mtu poa bwana. Shemeji nitamheshimu japo sitamwogopaHahaha mkuu mie mgeni ila wakat naingia humu nilitahadharishwa kuhusu Daby si wakuunda nae serikali ya umoja wa kitaifa ,Yatanikuta ya seifu na lipumba [emoji2] [emoji2] [emoji2]
aya mkuuApumzike kwa Amani
Kumbe utabadili eeh basi wacha nijemama wala usigope Id ,kama dini mtu anabadilisha itakuwa Id njoo chemba tuyajenge huwenda karoho kangu kakapata mahali safe
njoo mama tuyajenge na ukahifadhi haka karoho,kalikochoka kusikia milio ya risasiiKumbe utabadili eeh basi wacha nije
Mkuu heri nikupe pesa itafika ila sio kiburudisho ,Swahiba mimi mtu poa bwana. Shemeji nitamheshimu japo sitamwogopa