Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
Looking for a cheap laptop, natafuta laptop aina ya Lenovo yenye bei ya chini iwe ina support GTA V, Graphics Card nzuri na iwe fast kwenye internet na iwe Brand New nitanunulia wapi?
hakuna laptop cheap mpya inayocheza gta V sio lenovo tu bali brand yoyote
Niambie hiyo unayoona inafaa nitaweza ku-afford ila iwe Lenovo.
sasa nitajuaje mimi budget yako?
kwa laki 7 hapo tafuta tu laptop ya i3 ambayo processor yake inaishiwa na M kwa mbele n Iwe ni 4th generation ili upate gpu nzuri. cpu za hio family niBudget laki 7
Vijana wetu hao.Unataka kitu cha bei rahsi lakini mahtaj yako yanaonekana makubwa mnoo mjukuu wangu..
Fake hizo, aende kuna duka maeneo ya posta, silikumbuki jina (computer center etc ) ila wana laptop nzuri lenovo mpya i3 500GB kwa TZS 750,000, mi walinipunguzia mpaka TZS 740,000Kariakoo 450,000/=
kwa laki 7 hapo tafuta tu laptop ya i3 ambayo processor yake inaishiwa na M kwa mbele n Iwe ni 4th generation ili upate gpu nzuri. cpu za hio family ni
-i3 4000M
-i3 4100M
-i3 4110M
ila itabidi utafute sanaa, huko mtaani ni adimu sababu wafanyabiashara wetu hawajielewi wengi wanaleta laptop zenye cpu zinazoishiwa na U
kama utakosa hizo laptop ya i3 inayoishiwa na U ambayo inaweza kushindana na hizo processor hapo juu ni ya i3 6100U hizi utaweza kuzipata kirahisi kwenye maduka sababu ndio wakati wake huu.
pia angalia hii laptop inauzwa 550,000 ni used ila ni vyema Ukaiangalie kama processor yake ni i5 4200m itacheza GTA v kwenye low setting
Lenovo ThinkPad T44Op Dar es Salaam 620961 | Kupatana
Na Laptop ambayo itacheza GTA 5 kwenye Medium Setting au Max setting ni Kama ipi?
itategemea na resolution, official specs wenyewe wanataka uwe na
-cpu i5 3470 au amd 8350 na kupanda
-gpu iwe gtx 660 au Hd7870
kwa laptop hio ni sawa na laptop zenye gtx 970m kupanda na processor za quadcore za intel kama i7 6700HQ. bei za hizo laptop hazishuki milioni mbili na nusu za huku kwetu.
na hii ni kwa ajili ya max setting katika resolution za kawaida kama vile 1080p ila kama unacheza 4k itabidi utafute laptop yenye thunderbolt 3 na uchomeke gpu ya nje kama gtx 1070 au 1080.
mkuu hizo frequency hupangi wewe i3 6100u ni 2.3ghz haiwezi fika 2.6ghz na mara nyingi cpu kama hizo hawaweki gpu na kama wakiweka inakuwa gpu dhaifu kudanganya tu watu. pia wingi wa gb kwenye gpu haumaanishi hio gpu ina nguvu. mfano iris pro zenyewe zina vram mb 128 tu lakini zina nguvu kuliko gpu nyingi tu.Lenovo Think Pad
i3 6100U, 4GB ram HDD 500, graphics 2GB+, 2.6+ processor naweza kupata Tz zenyewe bei ngapi?
mkuu hizo frequency hupangi wewe i3 6100u ni 2.3ghz haiwezi fika 2.6ghz na mara nyingi cpu kama hizo hawaweki gpu na kama wakiweka inakuwa gpu dhaifu kudanganya tu watu. pia wingi wa gb kwenye gpu haumaanishi hio gpu ina nguvu. mfano iris pro zenyewe zina vram mb 128 tu lakini zina nguvu kuliko gpu nyingi tu.
i3 6100u kavu bila dedicated gpu ndio around laki 7 hadi 8
Nifanyie kitu kimoja naona kama natamani kuingia na wewe dukani nichagulie laptop aina ya Lenovo ambayo ni latest itakayoweza cheza GTA V iwe fast kwenye Internet na graphic iwe nzuri mie nitaenda tu dukani na kuwaonyesha ulichoniandikia kuangalia kwenye computer naweza na nitajifunza mengine kwanza YouTube na Google nitachukua kwa hiyo budget ya 700,000/- nirahisishie hivyo?
Mkuu jinsi ya kuziangalia ukiwa dukani huwezi tuwekea screen shot mkuu?kwa laki 7 hapo tafuta tu laptop ya i3 ambayo processor yake inaishiwa na M kwa mbele n Iwe ni 4th generation ili upate gpu nzuri. cpu za hio family ni