Natafuta gaming laptops

Natafuta gaming laptops

Twin J Young

New Member
Joined
Jul 10, 2023
Posts
4
Reaction score
2
Nahitaji kufahamu mahali na bei nzuri ya gaming laptop. Specs ziwe;
PC ya MSI
  • Specs i7, ram 32 ddr4, ssd 512, Gen 11
  • Invidia gforce RTX 3060 au zaidi
  • Graphics card 6gb au zaidi
Hata brands za OMEN na ASUS pia kama zipo.
 
Hata brands za OMEN na ASUS pia kama zipo.
Mahala utapa | EBAY(.com) au AMAZON(.com)
- Kisha fanya order
1688976618015.png

-Na iwapo utahitaji usaidiz katika kununu + kusafirisha + clearance , Basi Soma uzi huu | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Mahala utapa | EBAY(.com) au AMAZON(.com)
- Kisha fanya order
View attachment 2683685

- Ma iwapo utahitaji kusaidiwa Soma uzi huu | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na

Mahala utapa | EBAY(.com) au AMAZON(.com)
- Kisha fanya order
View attachment 2683685

-Na iwapo utahitaji usaidiz katika kununu + kusafirisha + clearance , Basi Soma uzi huu | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Hapa nikiagiza. Gharama za kodi huwa zikoje?
 
  • Laptop haina kodi
  • Utapigiwa hesabu ya VAT tu, kulingana na invoice value ya bidhaa husika.
Nitafutie Laptop ambayo ni very Durable, yet ina high perfomance, high graphics card na iwe inch 14. Nakupa Task hio!
 
Nitafutie Laptop ambayo ni very Durable, yet ina high perfomance, high graphics card na iwe inch 14. Nakupa Task hio!
- Chagua kwenye hizi link
Code:
1. https://www.windowscentral.com/best-14-inch-laptop

2. https://www.laptopmag.com/best-picks/best-14-inch-laptops

3. https://www.digitaltrends.com/computing/best-14-inch-laptops/
Nijulishe ni ipi umechagua ili sasa ndio tuitafute na manunuzi yafanyike
1688979755770.png

-
1688979784316.png
 
- Chagua kwenye hizi link
Code:
1. https://www.windowscentral.com/best-14-inch-laptop

2. https://www.laptopmag.com/best-picks/best-14-inch-laptops

3. https://www.digitaltrends.com/computing/best-14-inch-laptops/
Nijulishe ni ipi umechagua ili sasa ndio tuitafute na manunuzi yafanyike
View attachment 2683720
-
View attachment 2683721
Naifanyia Kazi Now!
 
Sasa unasema haina kodi halafu utapiguwa hesabu ya VAT! kwa hiyo VAT siyo kodi?
Je inawezekana kuwa kiswahili kina misamiati michache?

Acha tutumie Lugha ya kigeni

IMP - Import Duty | Imeondolewa kwa PC na vifaa vya PC
VAT - Value Added Tax | Ipo na utalipia
=
Utanielewa zaidi ukisoma neno kwa neno post #4 hapa | Kukatwa kodi kwa mizigo
 
Sawa mkuu umesomeka.
ukiagiza Laptop kwa DHL , gharama zinakuwa hiyo VAT pekee yake au kuna tozo zingine.
 
Ndio utapewa hesabu ya ghalama zingine zilizopo(walizonazo DHL), bila ya kuwepo kwa IMP, sehemu ya IMP wanajaza ZERO
Sawa mkuu. Mfano nimeagiza Laptop ebay $150 na Nimelipia shipping $42 .
Sasa DHL wanataka nini zaidi ya hiyo VAT ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom