Natafuta LENOVO laptop

Natafuta LENOVO laptop

thinkpad yoyote ambayo namba ya katikati ni 6 itakufaa zipo

thinkpad E460
Thinkpad E560
thinkpad x260

hizo 4, 5 na 2 zinamaanisha ukubwa wa kioo ukiona thinkpad imeanziwa na 4 ujue ukubwa wa kioo ni inch 14, ikianziwa na 2 ujue ni inch 12 na ikianziwa na 5 ujue ni inch 15.

namba inayofuatia ya katikati humaanisha generation, hivyo ikiwa ni 6 inamaanisha utapata generation ya 6.

Nimezunguka bila mafanikio, nitaipatia wapi Lenovo Thinkpad E560 hapa Tz?
 
kwenye website yetu ya Tanzania wameeka contact za kenya, inamaana hawana wakala hapa

Contact Lenovo - Tanzania

kama una mtu kenya acheki hio adress. au hata wewe unaweza ukawapigia jiunge kifurushi cha kenya ongea nao wao watakupa jibu zuri.
Sorry kaka..hv kati ya LEECO LE 2 X620 na XIAOMI REDMI NOTE 3 PRO ipi unaona ipo vzur zaid ya mwenzake hapo?
 
hio le eco ni nzuri ila sio same price point sababu redmi note 3 unaipata as cheap as dola 150 wakati hio le 2 ni zaidi ya dola 200.

pia xiaomi wanafahamika kutumia premium material tofauti na wachina wengine, hao le eco nawasikia tu ila sijawahi wafuatilia kiundani zaidi.

kama bei ya hio le eco inakaribia dola 300 ni bora kununua xiaomi mi5 sababu ni nzuri zaidi ya zote hizo
 
Kuna used x240 na x250 kutoka us, nichague ipi kati ya hizo hio x240 ina i7 na hio nyingine ina i5
 
i7-4600u na i5 5300u

hio i7 4600u ni processor nzuri kuliko i5 5300u hio ndio faida pekee ninayoiona kwenye x240.

ukichagua x250 na i5 5300u utapata
-gpu nzuri zaidi
-manufacturing process ya kisasa ya 14nm ambayo inakula umeme kidogo na kukaa sana na charge.

kama ni mimi binafsi ningechukua hio x250 sababu zote cpu zake zina nguvu kufanya mambo mengi ya kawaida ni kwenye gpu ndio kutakubana.

pia unapokuwa na laptop portable kama hio battery life ni muhimu hivyo x250 itakufaa.

ila kama utapata x240 yenye processor inayoishiwa na m kwa mbele kama vile i5 4200m hio itakuwa ni bora zaidi
 
hio le eco ni nzuri ila sio same price point sababu redmi note 3 unaipata as cheap as dola 150 wakati hio le 2 ni zaidi ya dola 200.

pia xiaomi wanafahamika kutumia premium material tofauti na wachina wengine, hao le eco nawasikia tu ila sijawahi wafuatilia kiundani zaidi.

kama bei ya hio le eco inakaribia dola 300 ni bora kununua xiaomi mi5 sababu ni nzuri zaidi ya zote hizo
Bei zao hiz hapa
15f5b471843a68aceefda13bf651265c.jpg
utaona redmi note 3 pro n kama laki 4 na hamsin na..na le eco n
efb1d2fb1f654cb784e568c4feb0411f.jpg
n kama lak 4 na arobain na hv hela za Kitanzania..so ipi inafaa kuchukua kati ya hzo?Mi 5 ipo juu sana stoiweza
 
hio i7 4600u ni processor nzuri kuliko i5 5300u hio ndio faida pekee ninayoiona kwenye x240.

ukichagua x250 na i5 5300u utapata
-gpu nzuri zaidi
-manufacturing process ya kisasa ya 14nm ambayo inakula umeme kidogo na kukaa sana na charge.

kama ni mimi binafsi ningechukua hio x250 sababu zote cpu zake zina nguvu kufanya mambo mengi ya kawaida ni kwenye gpu ndio kutakubana.

pia unapokuwa na laptop portable kama hio battery life ni muhimu hivyo x250 itakufaa.

ila kama utapata x240 yenye processor inayoishiwa na m kwa mbele kama vile i5 4200m hio itakuwa ni bora zaidi
Asante mkuu! Kingine kwa upande wa bei hio x240 ni laki 9.5 hio ngingine ni laki 9 vipi hizo bei ni reasonable? na hizo laptop ni used.
 
yap ni reasonable,thinkpad ni laptop ghali sana cheki amazon bei za x250 utaona zilivyo. chukua hio x250 kama change itabaki nunua na battery ya 9 cell ya thinkpad x250 uenjoy laptop inayokaa na chaji masaa hadi 15
 
Bei zao hiz hapa
15f5b471843a68aceefda13bf651265c.jpg
utaona redmi note 3 pro n kama laki 4 na hamsin na..na le eco n
efb1d2fb1f654cb784e568c4feb0411f.jpg
n kama lak 4 na arobain na hv hela za Kitanzania..so ipi inafaa kuchukua kati ya hzo?Mi 5 ipo juu sana stoiweza

mkuu mimi nawaamini xiaomi kama ni mimi ningechukua redmi note 3 japo perfomance ya leeco ni kubwa, hio xiaomi ina battery na gpu kubwa overall itakua simu nzuri. pia xiaomi official wapo kenya hivyo support haitakuwa shida. unanunulia kenya au hapa hapa tz?
 
Kwa nini wafanyabiashara wa Tanzania hawaleti hizi simu za Xiaomi ?
 
mkuu mimi nawaamini xiaomi kama ni mimi ningechukua redmi note 3 japo perfomance ya leeco ni kubwa, hio xiaomi ina battery na gpu kubwa overall itakua simu nzuri. pia xiaomi official wapo kenya hivyo support haitakuwa shida. unanunulia kenya au hapa hapa tz?
Nanunulia Kenya..una nunua online then wana deliver ndio unalipa,wana deliver Kenya,Uganda na Tanzania
 
Looking for a cheap laptop, natafuta laptop aina ya Lenovo yenye bei ya chini iwe ina support GTA V, Graphics Card nzuri na iwe fast kwenye internet na iwe Brand New nitanunulia wapi?

Ni Lenovo core i5 v580 , 780 HDD, 6GB RAM ,2GB OF NVIDIA GFORCE GRAPHICS,webcam, CPU 4000, bado ipo kwenye hali nzuri kabisa waweza Ni pm ama nicheki kwa 0657337030 kwa biashara
 
mkuu mimi nawaamini xiaomi kama ni mimi ningechukua redmi note 3 japo perfomance ya leeco ni kubwa, hio xiaomi ina battery na gpu kubwa overall itakua simu nzuri. pia xiaomi official wapo kenya hivyo support haitakuwa shida. unanunulia kenya au hapa hapa tz?
Samahani mkuu..kna lenovo moja apa imeandikwa intel core i3,ram 4Gb,32 bit os,x64 processor, lenovo G500 na hdd 500Gb
..
Mzgo huu used km miez 4/5 inakaa na chaji saana tu,
Je naweza kuuza bei gan kwa soko la sasa...???
 
angalia ni i3 ipi, nenda my computer halafu right click then properties
 
Back
Top Bottom