Natafuta LENOVO laptop

Natafuta LENOVO laptop

Hapana mkuu..kwan znatofautiana?..
Maana apa karb nna desktop ya leno ndo nayo ina stika core i3 nkajua zpo sawa...
Ngoja nchek ya io laptop kwa usahihi
yap zinatofautiana hizo i3 zipo tofaut tofaut zinaweza fika aina 50. cheki hio laptop
 
Back
Top Bottom