Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,067
- 43,498
ukienda my computer halafu uka right click then chagua properties itakuja page kukuonesha aina ya processor na ramMkuu jinsi ya kuziangalia ukiwa dukani huwezi tuwekea screen shot mkuu?
sema si wauzaji wote wanakuruhusu kuwasha laptop.
ni muhimu sana kujua aina ya processor sababu kusema tu i3/i5/i7/celeron/pentium haitoshi, inaweza kuwa i7 na ikawa mbaya vile vile.