Mkurugenzi Wa Mashirika
Member
- Oct 23, 2022
- 97
- 99
Habari wakuu,
Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7
Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7
Mimi nataka corei 7 kutokana na kazi nazofanya.Unaenda pigwa, we sema bajeti yako utaelekezwa mzigo mzuri. Usiende kwa kukariri. Kuna i3 generation ya 8 nzuri kuliko i7 gen ya 1.
Ni bora wewe ndio utaje bei yako hapahapa, Mimi niko Daruna shingapi unapatika wapi
Samahani nilijua uko mkoani nikutapeliNi bora wewe ndio utaje bei yako hapahapa, Mimi niko Dar
Huwezi kunitapeli,Samahani nilijua uko mkoani nikutapeli
Nazijua laptop kuliko wewe corei 3, inaweza kurun MATLAB?Unaenda pigwa, we sema bajeti yako utaelekezwa mzigo mzuri. Usiende kwa kukariri. Kuna i3 generation ya 8 nzuri kuliko i7 gen ya 1.
Hujui kitu wewe, umekariri Lenovo i7Nazijua laptop kuliko wewe corei 3, inaweza kurun MATLAB?
Mkuu unamjua huyo jamaa?Nazijua laptop kuliko wewe corei 3, inaweza kurun MATLAB?
Basi kila mtu anajua ila kwa ninavyo elewa hiyo core i3 yako haiwezi kurun MATLAB efficiently.Hujui kitu wewe, umekariri Lenovo i7
Simjui rafiki, kwani kuna haja ya kumjuaMkuu unamjua huyo jamaa?
Ni kwamba umesema unajua laptop kuliko yeyeSimjui rafiki, kwani kuna haja ya kumjua
Nadhani HIMARS anachojaribu kuku-alert ni kuwa i7 kuna za generation tofauti, hivyo zingatia generation pia. Kwa mfano i7 ya 13th generation ni nzuri zaidi ya i7 ya 7th generation, kwa hiyo bei zitatofautiana.Mimi nataka corei 7 kutokana na kazi nazofanya.
Unaenda pigwa, we sema bajeti yako utaelekezwa mzigo mzuri. Usiende kwa kukariri. Kuna i3 generation ya 8 nzuri kuliko i7 gen ya 1.
Ni bora wewe ndio utaje bei yako hapahapa, Mimi niko Dar
Habari wakuu,
Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7