Battery ya Laptop aina ya Lenovo T440p inahitajika

lui03152

JF-Expert Member
Nov 27, 2020
250
338
Habarini Wana JamiiForums,

Natafuta battery ya Laptop tajwa hapo juu, nikipata Mpya au used yenye ubora pia ni sawa tu.

Aliyekuwa nayo tuwasiliane hapa chap tufanye biashara.

Picha ya laptop na battery imeambatanishwa hapo chini.
 
Habarini Wana jamii forum, namtafuta battery ya laptop tajwa hapo juu, nikipata Mpya au used yenye ubora pia ni sawa tu. Aliyekuwa nayo tuwasiliane hapa chap tufanye biashara.... Picha ya laptop na battery imeambatanishwa hapo chini.
06567521** (cheki PM)

Jofrey.

Mcheki jamaa alishawahi niuzia hiyo betri na keyboard yake pia. Yupo kariakoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom