Hahahaaa. Nimeshazoea. Ila nakumbuka nilipokuwa first year, sikuwahi kumtoza mtu hata shilingi lakini bado first year sijaona mwenye akili hiyo. Wengi wanataka pesa sana na wanatanguliza pesa zaidi ya utu. Lakin nilijifunza nilipokuwa second year, sasa hivi huu ni mwaka wa mwisho, ni mwaka wa kusoma sana na kufanya jitihada na campus ndio sehemu ambayo kwangu mimi naweza kusoma bila disturbance.
Ila nipo serious, kama kuna mtu ambaye atapata campus nipo tayari kujitoa niwezavyo kwa hilo.
SODOKA husitishike sana na maisha ya kusoma,husikate tamaa jipe moyo ila husitukane mtu,si vizuri kiustaarabu. Baba V msaada wako wa picha ya Simba kabebwa I mean kapakatwa unahitajika.
SODOKA husitishike sana na maisha ya kusoma,husikate tamaa jipe moyo ila husitukane mtu,si vizuri kiustaarabu. Baba V msaada wako wa picha ya Simba kabebwa I mean kapakatwa unahitajika.
Watu wanachoshindwa kuelewa ni kua sio kwamba mtu hana uwezo wa kupanga wengine wanao ila mazingira ya kuishi sinza au savei na kina mama mwajuma ni tofauti na kukaa hostel zilizotayari kwa wanafunzi iwe mabibo au main campus mazingira yanakua mazuri zaid kwa mwanafunzi kwa kujisomea kuliko kule mtaani
Fynd mi f u want kunipa sapoty ! Pand za bybo hostel! +255714 784757! Tx deeboy ! N sharaout kwa wote wanaokipyga coz ya bcom accountin! N othr UDBS dents!
Fynd mi f u want kunipa sapoty ! Pand za bybo hostel! +255714 784757! Tx deeboy ! N sharaout kwa wote wanaokipyga coz ya bcom accountin! N othr UDBS dents!
Enyi ndugu zangu wa UDSM kwanza naomba tusaidiane kwa hili then tutaelewana juu ya kubebana.Ikitokea nimepata mkopo 100%,napaswa kuja na kiasi gani cha pesa ili kukamilisha michakato ya registration?
Kuna gharama za kitambulisho na mambo mengine ya chuo lyk bima ya hospitali! Then na gharama ya hostel! Jus download admission form yao! Inakila kitu kuhusu malipo!
Enyi ndugu zangu wa UDSM kwanza naomba tusaidiane kwa hili then tutaelewana juu ya kubebana.Ikitokea nimepata mkopo 100%,napaswa kuja na kiasi gani cha pesa ili kukamilisha michakato ya registration?