Kipindupindu ni suala la chakula na maji, hakiko mbali na Corona

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,621
46,267
Naona kwenye vyombo vya habari jitihada mbalimbali za kupambana na Kipindupindu ikiwemo watu kufagia mitaa, hayo ni mambo mazuri ila ni vyema kufahamu Kipindupindu ni ugonjwa unaohusu kula na kunywa.

Jitihada kubwa zilipaswa kuelekezwa kufundisha watu kunawa mikono kwa usahihi, kuhakikisha watu wanavyo na wanatumia vyoo bora kujisaidia, kufanya usafi vyooni, kuhakikisha maeneo yana mifumo bora ya majitaka, kugawa ndoo za maji za kunawa ambazo watu hawahitaji kushika koki kufungua maji n.k

Ni vihoja kuhona watu wazima wanafagia barabara au mitaa kupambana na Kipindipindu ugonjwa unaokaribiana na Corona katika namna ya maambukizi.
 
Rabbi TV km mnapita humu JF TV yenu inakatakata sana, sasa sijajua mna mafundi mitambo au mna nini? Rekebisheni usiku mnaweka Movie kali alafu full kukatikatika tu Serekali ifike hatua TV za namna hii wawe wanazipunguza aisee tinaumizana MACHO Rabbi TV rekebisheni mitambo yenu mna vipindi vizuri Ila
 
Back
Top Bottom