Kwa nini unapendekeza huko ndugu badala ya maeneo aliyotaja yeye? Elimu tafadhaliMkuu tafuta ilazo utakuja kunishukuru
Kwa nini Ilazo mkuu?Mkuu tafuta ilazo utakuja kunishukuru
Ulipata??Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi.
aksanteni.
Umeshapata?Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi.
aksanteni.
Ulipata??
Jiji wanasema wana viwanja Kikombo huko!Fika ofisi za jiji au manispaa utapata huduma
Kuna mtu naongea naye hapa nitakuunganisha naye....Bado boss
Ila Ipagala na Kisasa viwanja ni vya Moto kidogo....ila vya chini kabisa si chini ya Milioni 10....Kuna mtu naongea naye hapa nitakuunganisha naye....
Hapo nane nane kipo karibu na kwa masister... Kama utapapenda...Jiji wanasema wana viwanja Kikombo huko!
Shilingi ngapi mkuu?Hapo nane nane kipo karibu na kwa masister... Kama utapapenda...
Hapo nane nane kipo karibu na kwa masister... Kama utapapenda...
Eneo lilipo: Nzuguni kwa masista wakatolikiSize gani na bei gani?
Eneo lilipo: Nzuguni kwa masista wakatolikiShilingi ngapi mkuu?