Natafuta king'amuzi cha Azam (used)

Natafuta king'amuzi cha Azam (used)

Haya Linamo najua kaisha uza chake.
Mliobakia hiki hapa chini.Maana mlinzi wangu lindo linamshinda kwa kuzubalia Tv.
Ukiwa Dar Tsh:50,000 ,maana issue za kumpa staff wa boat hapo
Kama upo Zanzibar 45,000 mlangoni kwako.
Au kama unajamaa Zanzibar naweza kumuagiza mtu ampelekee,maana nipo out of Nchi hadi uchaguzi uishe.

.


1.JPG 2.JPG 3.JPG
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Back
Top Bottom