paul buswelu
Member
- Dec 14, 2012
- 46
- 4
Natafuta king'amuzi used cha azam nipo dar~0769116443
Natafuta king'amuzi used cha azam nipo dar~0769116443
Vikipatikana ving'amuzi viwili itakua poa sana
Njoo nikuuzie decoder dish nalitumia
Njoo nikuuzie decoder dish nalitumia
Mm ninatafuta mtu mwenye king'amuzi cha azam ili tubadilishane na cha dstv au kama Luna anayetaka kununua cha dstv nauza kwa shilingi elf 90 ya kitanzania. Namba yangu 0658283200
Me nauza cha startimes
kwani bei yake sh ngapi kikiwa kipya
Njoo nikuuzie decoder dish nalitumia
Dukani kwangu Ukonga Dar nauza elfu 99 kipya hakijafunguliwa, pamoa na accessories zooote na waya
nahitaji mkuu sema niko maeneo ya tegeta napataje?
Ishu ni namna ya kukufikia sasa, hasa suala la usafiri!
Siku ukiwa na trip za ama Buguruni au Kariakoo ama maeneo ya karibu na hayo nishtue, nitakuletea.