Natafuta Kibarua cha kufua na kufanya usafi

Subiri mad max akuletee mrejesho. Km atanikuta mimi ni mwanamke au lah. Nilichogundua baadhi ya wanaume wa jf ni hawana nidhamu, usimuone mtu ameelezea shida yake, hitaji lake na Kazi yake, km ni mschana bs utataka umtongoze na ujaribu imani yake. Narudia tena usitake nitume msg zako zote za inbox ulizotuma, kwa kisingizio eti unataka unipe Kazi ya sheli. Kazi ya sheli na kutuma picha ya kuthaminisha inahusiana na nini?. Kwa hiyo km ni mwanamke nimekuja kuomba ndiyo untk nijirahisishe kutembea na ww ili nipate hiyo Kazi?. Sihitaji msaada wako ndiyo mn nimekupotezea. Kuwa mstaarabu kwenye mada za watu.

ukute wewe ndio madmax mwenyewe
acha utapeli mkuu mimi nikekupa muongozo nini chakufanya sijakutongoza ila nilikuomba picha makusudi huwezi kumsaidia mtu ambaye hata sura hujaiona kama shida yako ilikuwa kazi sura unaificha yanini endelea kuomba huruma ya kufua nguo bwana ila unachokitaka utakipata kwa wakati....tahadhari tuu kwa wanajf huyu mtu sio mwema.
hhahahhahhahahaaaaa
 
Mbn Kuna mtu amenisaidia bila masharti km yako unayoyatoa?. Ingekuwa Kuna masharti km ivyo ktk kaz zote zinazotolewa bs kusingekuwepo na matangazo ya kaz na watu hawajuani. Wewe kaa apo apo na roho yako ndogo. Ndo nyie ambao amumsaidii mtu mpk umlambe.
 
aiseeeeeee.
Wewe mkuu naomba usinichefue. Tena usiharibu tangazo langu la kunipatia ridhiki. Usitake nitume msg zako zote za kijinga ulizonitumia inbox. Kama ww ni mshenzi bs si wote watakuwa washenzi. Km ww unafikiri Kila mwanamke ni chombo cha starehe na wa kuliwa kimasihara bs mimi ni mwanamke wa shoka tena mwenye msimamo wangu. Narudia tena usitake kuharibiana mkuu. Km una Kazi leta na si kuleta mambo ya mitongozano, sijaja kutongozwa mimi apa. Huna ata aibu. Asante.
 
Siwajui, maana Kila mtu na tabia yake.
Nikuambie kitu mdogo wangu. Stay focused. Unatafuta Kazi ya halali ya kula jasho lako kwa kufanya usafi na InshaAllah Mungu atakujaalia utapata. Fanya kwa uhodari, umakini na uaminifu.

Unaweza kusave kwa sababu unaweza handle nyumba mbili ama tatu ama zaidi kwa siku na zaidi ya nauli huenda usigharamike zaidi.

Hakuna Kazi mbaya, hii ya usafi unaweza save sana na ukaja kuanzisha Laundry Mart ya ki professional zaidi ama Cleaning Company na ukawafanyia vijana training na kuwaajiri huko mbele ya safari na ukapata tenders nzuri tu kwenye makampuni.

Usiyumbishwe na wanaume. Usiingie katika mitego yao ya kukupa tip versus shida. Maadili Yako yabaki hapo hapo. If you say No, mean it. Vaa kistaarbau na Weka mipaka Yako.

Hawa wavulana nature yao ni kutaka kujaribu jaribu na kuonja Na bado waje na sredi za kulalamika wanawake ni tegemezi while they cannot respect someone's hustle. Pathetic.

Respect your own hustle Queen.
 
Hizi changamoto zipo tu sema mtoa mada be calm acha mapepe wala usiongee sana! Misimamo ni yako binafsi huna haja ya kurushiana maneno na mtu wengine tutaogopa sasa hata kuuliza mambo mawili matatu juu ya biashara hii tunafanyaje
 
Wala sio mapepe. She has a right to defend herself and her dignity!

Sio aseme yes tu kisa anatafuta Kazi.

A woman needs to have and maintain her pride and dignity at all times because it is what makes her a woman of substance.
 
She has her rights ila approach inaweza leta mkanganyiko! Sasa mtu hata kama ulitaka ufanye nae biashara mtu ghafla unamuona anarushiana vijembe na watu wengine mbele yako unaona iko sawa!

Its self defense ila it also hurts her good intentions za kufanya biashara! Alinde brand yake ila si kwa kuanza arguments some customers don’t like that!

Kulikuwaga na bwana mmoja anatuma magari ya kuuza humu ukianza kumhoji anakujibu matusi matusi simuonagi tena sikuhizi! Hakuna mtu alikuwa anapenda malumbano nae ila ukianza tu kumuliza gari iko wapi mubargain mara anaanza kukuporomoshea matusi!
 
She has better chances at defending herself than letting petty boys claw at her dignity.

It is through her defense that you can be able to deduce her character and intentions and so far so good.

Huyu hajatukana....huyo muuza Magari bange tu labda.
 
She has better chances at defending herself than letting petty boys claw at her dignity.

It is through her defense that you can be able to deduce her character and intentions and so far so good.
There is a great power in ignoring bullshit, you better give it a shot sometimes! Works like charm...

Sometimes wanawake hata kutongozwa hovyo ni zao la ku entertain watu. Kaomba namba mpe ila akituma meseji akaanza mambo ya nje ya biashara usijibu! Akipiga usipokee! Kwani atakufungulia mashitaka? Kuna haja gani ya wewe kupoteza energy kujibizana na mtu!
 
By allowing bullshit here she invites even more bullshit when called over for some cleaning tasks.

But when she shows them upfront that she will not tolerate their disrespect, she sends the jokers away scuttling with their tails between their legs and leaves the serious ones to give her a call.

Ukijichelesha ukijua watabadilika unapenda kufanya Kazi utashangaa mabaharia wameshaweka na condoms wanajua wanakula kimasihara 🥺🥺
 
Thats why you should ignore it! Usitumie harsh statements to prove your msimamo, just act accordingly yani unakimbiza mwizi kimya kimya!
 
Back
Top Bottom