Natafuta Kibarua cha kufua na kufanya usafi

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
35,265
2,000
Ignoring will make matters worse

You can make your point to make your boundaries known without necessarily being harsh.
Sasa kwa ku shout na kujibrag hio sio harshness au unafikiria hio approach watu hatuielewi! And FYi hawa wanawake wa hivi ndio huwa wanatiwaga kizembe sana kuliko hata wale ambao wanakupotezea kimya kimya!

Hawa wa “usifikirie mie kama malaya uliowazoea hao” na blaa blaa! Huwa wanaongozaga kunasa kwenye tundu bovu 😁😁😁
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
15,799

Well let her find her own path in life.

And wish her well.
 
Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
11,319
2,000
Nikuambie kitu mdogo wangu. Stay focused. Unatafuta Kazi ya halali ya kula jasho lako kwa kufanya usafi na InshaAllah Mungu atakujaalia utapata. Fanya kwa uhodari, umakini na uaminifu.

Unaweza kusave kwa sababu unaweza handle nyumba mbili ama tatu ama zaidi kwa siku na zaidi ya nauli huenda usigharamike zaidi.

Hakuna Kazi mbaya, hii ya usafi unaweza save sana na ukaja kuanzisha Laundry Mart ya ki professional zaidi ama Cleaning Company na ukawafanyia vijana training na kuwaajiri huko mbele ya safari na ukapata tenders nzuri tu kwenye makampuni.

Usiyumbishwe na wanaume. Usiingie katika mitego yao ya kukupa tip versus shida. Maadili Yako yabaki hapo hapo. If you say No, mean it. Vaa kistaarbau na Weka mipaka Yako.

Hawa wavulana nature yao ni kutaka kujaribu jaribu na kuonja Na bado waje na sredi za kulalamika wanawake ni tegemezi while they cannot respect someone's hustle. Pathetic.

Respect your own hustle Queen.
That's Karucee
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,838
2,000
Jf kumejaa watu wa ajabu sana. Yaani wakiona mwanamke au anaejiainisha mwanamke anatafuta kazi cha kwanza kinawajia ni ngono! Kama sio ngono utasikia 'atalizwa mtu sasa hivi' yaani ni negativities katika ubora wake! Nakumbuka niliwahi kuweka tangazo humu lakuhitaji msaidizi wa weekend tu nikasema nitamlipa 20,000 kila atakapokuja aisee wakulungwa walitokwa povu balaa. Mpaka unashangaa hivi watu huko mtaani wanakabiliwa na nini?
Kifupi alijitokeza dada mmoja akanifanyia hio kazi kwa muda mrefu na weledi wa hali ya juu mpaka alipopata kazi aliokuwa anasubiri akaendelea na maisha yake. Hamna hata siku moja niliyomtongoza au kuwa na wazo hilo na nyumbani tunakuwa wawili tu mimi na yeye. Kuna watu wanajiheshimu binadamu wametofautiana.
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
15,799
2,000
Was one of a kind which was not good kind.

Mtizamo wangu tu bestyyy
It's nice of you to ask her to take it down if you believe it was not right.

Kuna Dada alivaaga t-shirt imeandikwa Under construction huku mshale unaelekea chini.

Ndo yale yale huenda ni kutojua. Lol
 
fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,686
2,000
Jf kumejaa watu wa ajabu sana. Yaani wakiona mwanamke au anaejiainisha mwanamke anatafuta kazi cha kwanza kinawajia ni ngono! Kama sio ngono utasikia 'atalizwa mtu sasa hivi' yaani ni negativities katika ubora wake! Nakumbuka niliwahi kuweka tangazo humu lakuhitaji msaidizi wa weekend tu nikasema nitamlipa 20,000 kila atakapokuja aisee wakulungwa walitokwa povu balaa. Mpaka unashangaa hivi watu huko mtaani wanakabiliwa na nini?
Kifupi alijitokeza dada mmoja akanifanyia hio kazi kwa muda mrefu na weledi wa hali ya juu mpaka alipopata kazi aliokuwa anasubiri akaendelea na maisha yake. Hamna hata siku moja niliyomtongoza au kuwa na wazo hilo na nyumbani tunakuwa wawili tu mimi na yeye. Kuna watu wanajiheshimu binadamu wametofautiana.
Mkuu humu watu wanawazaga kupigana miti tu. Usipoweza kuchanganya na zako....unataabika sana
 
Tariq Mimi

JF-Expert Member
Apr 10, 2020
323
1,000
Kuna bin adam ni wa ajabu mno haikuwahi kutokea, yani wao kazi yao kupinga pinga tu na kukatisha wengine tamaa. Kuna wakati unapay attention katika jambo fulani, ghafla tu anaibuka mpuuzi fulani anaanza mtapigwa, sijui sio mwanamke huyo, mara ooooh chai hii...so what? Mtu unawaza tu ningekua karibu na mpuuzi wa aina hii sijui ningechukua maamuzi gani, unaamua tu kupuuzia. Ila inaboa mno
 
Sasa mtu huyu alieandika thread hii ya kuomba kazi angeandika thread anasimulia jinsi maisha yalivyo magumu hawa hawa wangejaa kwenye hio thread na likes kibao kujidai wanamuonea huruma!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom