Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,980
32,287
Mimi ni Mdada niliyemaliza form Six, na kwa sasa sina ajira yoyote.
Ila nahitaji kufanya kazi za ndani (U-housegirl) kwa mwanaume ambae amefiwa na mkewe (Mgane) AU Ameachana na mkewe.
Umri mwisho miaka 50 maana wanakuwa na nguvu,after hapo huwa hawana nguvu.

Mimi ni mwaminifu,
Mcha Mungu,
Msafi na Nina Upendo.
Nitamuhudumia kwa Upendo wa Kweli.
Mshahara: Maelewano ila kuanzia 80,000/=
SIHITAJI WAZEE.

NOTE:
Sihitaji kufanya kazi kwa mwanaume ambae hajaoa,yaani bachela,maana huwa ni wasumbufu sana kila ifikapo mwisho wa mwezi.

Alie tayari ani-PM
 

jee, wewe ni muathirika wa VVU?
 

Mbona sijaona kipengele cha mkoa gani unahitaaji au nchi gani au sehemu yoyote ila ungeweka na hicho kipengele ingekuwa poa sana.
 
Kuna babu yangu 80yrs ni mjane na hawez hata kutembea, anatafuta msaidizi, upo tayari? Mshahara nakulipa mimi
 

ni pm namba yako, ila kwa sasa nipo huku ku Paris kwenye French open (tennis) fainali ya mwisho ni kesho Jpili, lakini mercredi (J5) nitakuwa ndani ya Bongo tukufu.
 


Lazima iwe kufiwa? Na je kama ni kuachwa?
 
kuna mama mjane ana miaka sabini na tano. Anahitaji housegirl na mshahara kwa mwezi ni laki moja. Uko tayari au we unahitiji kazi ya kulea wagane tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…