Mtaalamu wa mambo
Member
- Nov 23, 2020
- 58
- 96
Natafuta kazi za ndani (House boy) ninaweza kutunza bustani na kufanya usafi naombeni msaada.
Mawasiliano yangu ni 0674709210
Mawasiliano yangu ni 0674709210
Niamini kaka bado mdogo sana nipo nahitaji msaada hali ni ya kimaisha mateso mda wote nikomboe mkuuNatafuta houseboy lakini je utamheshimu mke wangu?Kwa sababu mimi huwa natoka asubuhi mapema sana nakurudi usiku sana.Nyumbani huwa anabaki mke wangu peke yake.
Niamini kaka bado mdogo sana nipo nahitaji msaada hali ni ya kimaisha mateso mda wote nikomboe mkuu
Naishi maisha magumu nahitaji kupata kazi nifanye niweze kujikomboamateso yako ni nn @Nenda rudi badae
Umri 22Una umri gani,upo wapi(mkoa)?
Tatizo umeanza kuingiza usanii kwenye suala la msingi, maneno meeengi mwishowe utaharibu radha ya hitaji lako,Umri wangu na maisha ninayopitia nahisi kuja kuwa chizi badae.
Sina mahusiano na sihisi kupenda nalala kuamka ndoto yangu haitimii maisha ya shida ndio kwanza najitegemea wazazi hawana uwezo na mtaji Sina nipe job kunikomboa kama mama mpishi,mtunza bustani au mfugaji.
Naelekea kupoteza ndoto zangu kula mlo Mara mojanashinda na njaa wazazi hawana uwezo ndio kwanza najitegemea Sina kitanda nalala kwa mkeka nipe job unikomboe
Elimu certificate isiyo na manufaa ajira hakuna mtaji Sina
Sina mbegu wala sihisi kupenda nipe job naelekea kufa
Sasa uyu houseboy utamlipa nini???Umri wangu na maisha ninayopitia nahisi kuja kuwa chizi badae.
Sina mahusiano na sihisi kupenda nalala kuamka ndoto yangu haitimii maisha ya shida ndio kwanza najitegemea wazazi hawana uwezo na mtaji Sina nipe job kunikomboa kama mama mpishi,mtunza bustani au mfugaji.
Naelekea kupoteza ndoto zangu kula mlo Mara mojanashinda na njaa wazazi hawana uwezo ndio kwanza najitegemea Sina kitanda nalala kwa mkeka nipe job unikomboe
Elimu certificate isiyo na manufaa ajira hakuna mtaji Sina
Sina mbegu wala sihisi kupenda nipe job naelekea kufa
Umri 22
Naishi mkoa wa Tanga
Umri wangu na maisha ninayopitia nahisi kuja kuwa chizi badae.
Sina mahusiano na sihisi kupenda nalala kuamka ndoto yangu haitimii maisha ya shida ndio kwanza najitegemea wazazi hawana uwezo na mtaji Sina nipe job kunikomboa kama mama mpishi,mtunza bustani au mfugaji.
Naelekea kupoteza ndoto zangu kula mlo Mara mojanashinda na njaa wazazi hawana uwezo ndio kwanza najitegemea Sina kitanda nalala kwa mkeka nipe job unikomboe
Elimu certificate isiyo na manufaa ajira hakuna mtaji Sina
Sina mbegu wala sihisi kupenda nipe job naelekea kufa
22 mkuu nisaidieUna miaka mingapi?