Natafuta kazi ya Ualimu masomo ya Chemistry & Biology

Nmehitimu 2021 kazi ya ualimu kwa yeyote mwenye connection za shule (chemistry & biology)
Pia hata primary nafundisha

Nicheki kwa namba 0743303233
Kuweka namba ya simu ni kuexpose yourself to limitless ya uchokozwaji.

Weka credentials zako hapa kama tuna ajira tukufuate inbobo.

Haujatufehem vyema sisi wanaume wa JF veve
 
Nmehitimu 2021 kazi ya ualimu kwa yeyote mwenye connection za shule (chemistry & biology)
Pia hata primary nafundisha

Nicheki kwa namba 0743303233
Vijana wangu wangekuwa wamefika Sekondari ningekuomba uwe unawafundisha part time

Mungu akusaidie upate sehemu sahihi ya kuendeleza carrier yako pamoja na kupata mkate wako wa kila siku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom