Natafuta kazi ya HR, Administrator, Sales au Tutor

Mar 1, 2024
6
4
Habari,

Chini hapo ni CV yangu, natafuta kazi yyte inayoendana na cv yangu, nashukuru sana.

SUMMARY

Highly-motivated employee with desire to take on new challenges. Strong work ethic, adaptability and exceptional interpersonal skills. Adept at working effectively unsupervised and quickly mastering new skills.

EDUCATION BACKGROUND
  • 2020-2023 Bachelor degree of human resource management, Moshi Cooperative University
  • 2018-2020 Advanced certificate of secondary education, Kondoa girls’ high school
  • 2014-2017 Certificate of secondary education, Uroki secondary school
WORK EXPERIENCE
  • HUMAN RESOURCES MANAGER - HERMARGS MDEGELA COMPANY LIMITED 09/2023 - 03/2024

  • RESEARCH ENUMERATOR - ICARS, 09/2023 - 09/2023

  • RESEARCH ENUMERATOR - WORLD VISION TANZANIA 08/2023 - 08/2023

  • SALES OFFICER - SPJ ELECTRONICS 08/2023 - 08/2023

  • HUMAN RESOURCE CONSULTANT- GREEN GUIDE AFRICA 02/2023 - 06/2023

  • CUSTOMER CARE ATTENDANT - IVETA CATERING 08/2022 - 10/2022

  • HUMAN RESOURCE TRAINEE - HONEY BADGER HOTEL 03/2022 - 06/2022

  • SHOP SELLER - KONDOA GIRLS HIGH SCHOOL 09/2018 - 03/2020
SKILLS AND COMPETENCE
  • Administrative expert
  • Team working
  • Interpersonal skills
  • Leadership skills
  • Coaching and advising
  • Confidential skills
  • Fluent in English and Kiswahili
  • Performance Assessment
  • New Employee Orientation
  • Staff Management
  • Employee Relations
  • Recordkeeping
  • Payroll Administration
  • Recruitment
  • Training Programs
  • Microsoft Office Proficiency
 
Habari,

Chini hapo ni CV yangu, natafuta kazi yyte inayoendana na cv yangu, nashukuru sana

agnessmfinanga02@gmail.com/ 255622644795

SUMMARY

Highly-motivated employee with desire to take on new challenges. Strong worth ethic, adaptability and exceptional interpersonal skills. Adept at working effectively unsupervised and quickly mastering new skills.

EDUCATION BACKGROUND
  • 2020-2023 Bachelor degree of human resource management, Moshi Cooperative University
  • 2018-2020 Advanced certificate of secondary education, Kondoa girls’ high school
  • 2014-2017 Certificate of secondary education, Uroki secondary school
WORK EXPERIENCE
  • HUMAN RESOURCES MANAGER, 09/2023 - 03/2024
  • RESEARCH ENUMERATOR, 09/2023 - 09/2023
  • RESEARCH ENUMERATOR, 08/2023 - 08/2023
  • SALES OFFICER, 08/2023 - 08/2023
  • HUMAN RESOURCE CONSULTANT, 02/2023 - 06/2023
  • CUSTOMER CARE ATTENDANT, 08/2022 - 10/2022
  • HUMAN RESOURCE TRAINEE, 03/2022 - 06/2022
  • SHOP SELLER, 09/2018 - 03/2020
SKILLS AND COMPETENCE
  • Administrative expert
  • Team working
  • Interpersonal skills
  • Leadership skills
  • Coaching and advising
  • Confidential skills
  • Fluent in English and Kiswahili
  • Performance Assessment
  • New Employee Orientation
  • Staff Management
  • Employee Relations
  • Recordkeeping
  • Payroll Administration
  • Recruitment
  • Training Programs
  • Microsoft Office Proficiency
Unapatikana wapi Kuna kazi lakini lazima uwe Mwanza
 
Agnes.

Hapo kwenye work experience weka majina ya makampuni ulikofanyia hizo kazi ili mwajiri wako mpya akitaka kuwasiliana nao ili kujiridhisha aweze kufanya hivyo. Hapo juu pia kuna typo. Umeandika worth ethic lakini naamini inapaswa kuwa work ethic.

Jitahidi sana CV yako isiwe na typo ya aina yo yote maana hiyo tu inaweza kumfanya anayeisoma aone kama hauko makini katika mambo yako.

Kumbuka pia ni lazima uweke majina matatu ya wadhamini (referees) wanaokufahamu vizuri ambao siyo ndugu zako au washikaji. Inapendeza kama mmoja wao akawa mmoja wa maprofesa/wahadhiri waliowahi kukufundisha. Huyu akiulizwa habari zako itabidi aelezee umahiri wako wa darasani na mengineyo. Mwingine awe mmojawapo wa wakubwa zako huko kazini ulikopita. Huyu akiulizwa habari zako atasema juu ya umahiri wako kazi na jinsi walivyosikitika ulipoondoka. Mwingine anaweza kuwa ye yote lakini ni lazima awe mtu anayekufahamu vizuri na ajikite katika kuelezea sifa zako zingine za kibinadamu lakini katika mazingira ya hiyo kazi utakayokuwa unaiomba.

Referees hawa ni lazima wawe wanakufahamu vizuri na njia nzuri ni kuwa na mawasiliano nao hata kabla hujawahitaji. Na kama una mahusiano nao mazuri wanaweza hata wakakuruhusu wewe uandike wenyewe hizo recommendation letters na wenyewe wakatia sahihi tu.

Naweza kusaidia kwa lo lote utakalohitaji katika kuiboresha CV yako na hata kunitumia mimi kama mmojawapo wa referees wako.

Kila la heri!
 
Nadhani ame notify vtu muhimu ila sio full CV hii
 
Kama unaweza kazi ya project manager sema ukapige interview but uwe dar

Nashukuru sana kwa maoni yako.
I would prefer that too
 
Kwa jinsi Dunia inavyokwenda mbio kipengele Cha referee kwenye CV sio muhimu Kwa Sasa.

Ni Bora kuacha wazi au kuandika maneno kama "reference available on request"

Si kila mtu unaemuweka kama referee atakuongelea vizuri hata kama uko karibu nao.

Kwahiyo ni bora kupaacha wazi, ikitokea mwajiri anataka kufanya reference ataomba contact.

NB: Leo nawapa tip Moja muhimu ya kumfanya mwajiri asipige simu sehemu uliyokuwa unafanya kazi. Ni simple tu wewe weka kwenye CV kuwa Bado uko kazini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom