natafta kazi

  1. Siwuya

    Natafuta kazi ya Graphics Designer

    Mimi ni kijana wa miaka 28 Graduate wa Mzumbe Level ya Degree katika Chuo Kikuu Mzumbe Coures: Information Communication Technology with Business ( ICT-B). Nimefanya kazi hii ya Graphics Designing kama Freelancer kwa zaidi ya Miaka Minne(5) kwenye Maeneo tofauti kama Vile Iringa, Mbeya...
  2. fanako

    Natafta kazi yeyote halali Niko mkoa wa Arusha

    Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Arusha ,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo...
  3. Josephkija1840

    Natafuta kazi ya ualimu

    Natafuta kazi ya ualimu Elimu:stashahada(degree) masomo:mathematics and geography mawasiliano :0684785432 location:dar es salam
  4. Kenedy68

    Natafuta Kazi

    Naitwa Kenedy Joel nipo Dodoma natafuta kazi yoyote halali umri wangu 27 nimesoma mpaka form 6 Mawasiliano 0765198643
  5. S

    Natafuta kazi nina uzoefu wa kazi za stationary na kiwandani. Elimu yangu Diploma ya HR. Nipo Kigamboni Mjimwema

    Natafuta Kazi ya secretary nina uzoefu wa kutumia computer. Pia nina uzoefu wa Kazi za stationary kwa miaka miwili.
  6. K

    Natafuta kazi yoyote halali

    Mimi kijana mwenye miaka 29 natafuta kazi yeyote kuhusu elimu mi degree holder, lakini njaa haijui Mambo ya degree. Nahitaji kazi yeyote iwe halali au haramu. Naweza fanya sales and marketing KUTOKANA na experience ya miaka 3 niliyowahi kufanya kazi Huko nyuma. Niko morogoro Nikisema haramu...
  7. P

    Nina shahada ya ualimu, natafuta kazi

    Nina degree ya Education kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, certificate ya Research and Data Analysis chuo kikuu cha SAUTI, certificate ya Administration and Management chuo kikuu cha SAUT, experience three years in teaching. Namba zangu ni 0768752056 na 0673650746
  8. SirJingu

    Natafta kazi (part time) muda Wangu ni kuanzia saa 9 mchana had saa 4 usiku.

    natafta kazi ya part time.muda wa kazi kuanzia mchana saa 8:30 hadi usiku saa 4
Back
Top Bottom