Modester yohana
New Member
- Mar 2, 2021
- 1
- 1
Jinsi ya kuapply naomba maelekezo mkuukama unaweza kupata cheti cha darasa la 7 na kitambulisho cha nida...pamoja na cheti cha kuzaliwa...huku ukiwa na wadhamini wawili wawe mwanza au dar es salaam...jaribu kwenye kampuni ya ulinzi GARDA unaweza kupata mshahala kuanzia 250k...lakini ni lazima uwe mrefu pamoja na miaka kuanzi 24