Natafuta kazi ya aina yoyote ile sababu sina Elimu

kama unaweza kupata cheti cha darasa la 7 na kitambulisho cha nida...pamoja na cheti cha kuzaliwa...huku ukiwa na wadhamini wawili wawe mwanza au dar es salaam...jaribu kwenye kampuni ya ulinzi GARDA unaweza kupata mshahala kuanzia 250k...lakini ni lazima uwe mrefu pamoja na miaka kuanzi 24
Jinsi ya kuapply naomba maelekezo mkuu
 
Jinsi ya kuapply naomba maelekezo mkuu
kwa dar es salaam ofisi zao zinapatikana huko MIKOCHENI kwa MWINYI unaandika barua...ya maombi ikiambatana na nakala ya vyeti vyako, nakala ya kitambulisho cha nida, nakala ya TIN....nakala ya cheti cha kuzaliwa.
barua za wadhamini wawili.
barua yako ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
barua za utambulisho kwa wadhamini wako wote wawili kutoka serikali ya mitaaa wanayoishi.
vitambulisho vyao halali vilivyotolewa na serikali, iwe leseni, pass ya kusafiria au kitambulisho cha nida.

kabla hujafanya hayo niliyokueleza hakikisha kuwa wewe ni mrefu kwani kigezo cha urefu ni cha lazima kabisa
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom